-->

WANAUME JIFUNZENI KWA WALIOWEZA KUMTUNZA MWANAMKE💯

Image may contain: 1 person, standing
Mwanaume wajibu wake kwanza ni KUMTUNZA MKE WAKE👩‍❤️‍👨
Mwanaume ni lazima amlinde Mke na watoto wake huo ni wajibu, tena Mwanaume sahihi huhakikisha afya ya akili na mwili viko Sawa, Mwanaume ajuaye THAMANI YA MKE WAKE kamwe hampi mkewe maumivu, Mwanaume akisimama kwenye nafasi yake KUSINGEKUWA NA SAUTI KUBWA YA WANAWAKE WAKILILIA UPENDO 😭😭
Anguko kubwa la MAHUSIANO NA NDOA vinachangizwa na mtazamo wa Wanaume kwa wanawake, Wanaume walio wengi wamejikuta wanamtazama Mwanamke kama CHANZO CHA KIPATO CHAO badala ya uhalisia wa Mwanamke kwenye maisha ya Mwanaume.
Matamanio ya MAISHA yamekula akili za Wanaume wengi, Hata kumezuka kundi kubwa la MWANAUME kutwa wakiwinda wanawake wenye uhakika wa Maisha, kwamba walau awe na hakika ya kula, kuvaa, kulala, na kama Mwanamke ana GARI 🚗 hapo ni patamu zaidi, Wanaume wa sasa hawataki kujua MWANAMKE ametoa wapi pesa bali wanaangalia zaidi KUHUDUMIWA😂😂
Unamkuta Mwanaume amekaa mezani anakula chakula ambacho hajui kimetokana na pato gani yeye anakula tu na vibesi kibao, Muda mwingine tunawapa kazi kubwa wanawake juu ya MAISHA YAO WENYEWE Kwani alishakosea kuolewa hana jinsi but ujinga unabaki kuwa wa Mwanaume, Ni fedheha kwa Mwanaume kuhudumiwa na Mwanamke japo mnajitoa ufahamu, Jiulize Dada yako anaishi na Mwanaume suruali UTAJISIKIAJE?
Mwanaume Rejea kwenye MISINGI YA UUMBAJI WA MUNGU KWAMBA WEWE NI KICHWA CHA NYUMBA ila kama unaona kulelewa ni FAHARI KWAKO kumbuka utapata UZAO wenye laana kwa kujilaani mwenyewe baada ya kushindwa kusimama kwenye UANAUME WAKO💯
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria 🔨
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU