-->

UJINGA WA MWANAMKE NI KUJIPAMBA ILI ATAZAMWE NA WANAUME, NA UJANJA WA MWANAMKE NI KUJITHAMINI MWENYEWE 💪

Image may contain: 5 people, people smiling, people standing, shorts, shoes and outdoor

Mtanisamehe Mama zangu kwani hapa sipo kuwaumbua bali nipo kuwajenga, Ukiweza kuchukuwa neno lichukuwe na ulifanyie kazi niamini leo halitakupa MAANA ila mbele ya safari ya maisha yako ya MAHUSIANO UTANIELEWA. Maandiko📖 yanawaasa WANAWAKE MSIYACHOCHEE MAPENZI muyaache yaje yenyewe, wala kujipamba kwenu kusiwe kujipamba kwa ANASA
Mwanamke akijitambuwa na kuuthamini Mwili wake itakuwa TAJI ðŸ‘‘ YA MUMEWE ðŸ‘©‍❤️‍👨
Lakini ikiwa MWANAMKE hatajua namna ya kujiweka kwa ajili ya HESHIMA YAKE MWENYEWE basi Mwanamke huyo wala asitarajie kumuona Mwanaume sahihi, Wanaume ni watu wa ajabu mno, Hawezi kuruhusu Mke wake kuvaa nguo za KUTAMANISHA Wanaume wengine ila yupo tayari kumtongoza Mwanamke mwingine anayevaa vichupi ðŸ‘™ upo hapo Mwanamke ðŸ¤·‍♂️
Ijue THAMANI yako ili uweze kukwepa kuwa MAWINDO ya Wanaume ðŸ’¯
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU