-->

Mwanaume hatosheki na wewe kwa sababu unajua kujipamba na kuvaa vizuri, Wala Mwanaume haridhiki na wewe kwakuwa UNA SHAPE AU SURA NZURI⛔

Image may contain: 1 person, walking, standing, shoes and outdoor
Jiule swali hili;
 KWANINI HOUSE GIRL ANAWEZA KUMTEKA MUMEO WALA HAJUI KUJIPAMBA, HANA NGUO NZURI, HANA SHAPE WALA SURA NZURI?
Wanaume hawako kama ambavyo mnawachukulia, Wanaume ni viumbe wa ajabu sana kuna wakati unaweza kuwasoma📖 usiweze kuhitimu kwani WANABADILIKA KUTOKANA NA MAENEO WALIYOPO.
Mwanaume ni kama MVUTA SIGARA PINDI APATAPO KIU YA KUVUTA YUPO TAYARI KUCHANGIA SIGARA NA TEJA wakati huo hawezi kuchangia UNADHIFU WAKE NA TEJA HUYO😂😂 na hapo ndipo utanielewa kwamba;
MWANAUME AKIWAKA TAMAA HAANGALII NI MWANAMKE GANI ANATAKIWA KUWA NAE na hilo ndilo linamfanya Mwanaume kujawa TAMAA ISIYO NA MWISHO.
Hayupo Mwanamke anaweza kumtuliza Mwanaume kama wewe huamini hili JIANGALIE WEWE MWENYEWE USHAKUWA NA WANAUME WANGAPI TANGU BIKRA HADI LEO na hapo utakuwa imenielewa, Mwanaume akiamua KUTULIA anaweza KUTULIA bila sababu wala sio kama AKITULIA KATULIZWA
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria 🔨
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU