-->

MAPENZI YA SASA HAYAKWEPEKI KWA KUFIKIRI BALI UNAWEZA KUYAKWEPA IKIWA HAYAKUPI FURAHA NA AMANI.


Image may contain: 2 people, people sitting
Kwa sasa kuliko kumuacha UMPENDAYE kwa madhaifu haya yafuatayo ni HASARA YAKO:-
 MWANAUME KUTAKA KUPEWA PESA.
 MWANAMKE KULILIA KUHUDUMIWA.
Dunia imewageuza watu na kuwapa taswira MPYA kwenye MAHUSIANO ya sasa kiasi kwamba ILI FURAHA NA AMANI vipatikane kwenye MAHUSIANO ya leo ni lazima MWANAMKE AWE NA PESA ZA KUMHUDUMIA MWANAUME😭😭😭
Kwa Wanawake nao kama Mwanaume huna PESA ni ngumu sana kumtuliza Mwanamke 😂😂
Kuliko kukaa na kuyatafakari MAPENZI tafuta shamba ukalime hata PIRIPIRI🌶️ unaweza kuja kuuza kwa faida 😂😂 Maana MAPENZI ni chanzo cha MAAFA.
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria 🔨
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU