Wanawake naomba mnielewe, Ni rahisi Mwanamke kuchagua nguo ya kuvaa akapendeza ila kuchagua Mwanaume sahihi ni MTIHANI AMBAO WANAWAKE HAWAJAWAHI PATA JAPO 50% zaidi wamejikuta wanalikataa somo hilo huku wakiamini UFAURU WA FURAHA NA AMANI UNATOKANA NA UCHAGUZI SAHIHI.
Maisha ya Mwanaume yanatokana na UTULIVU WA MWANAMKE japo wanaume wengi hamjui na hata wanawake hawajui hilo, Mwanaume anapokuwa amempa AMANI MWANAMKE return ya MAZURI YA MWANAMKE HUYO KWA MWANAUME WAKE ni hazina ya MAFANIKIO YA MUMEWE👩❤️👨
Mwanamke ujue jambo hili;
▪ WANAUME WALIO WENGI HUMTUMIA MWANAMKE KAMA SEHEMU YA MSAIDIZI pengine ni kama ambavyo MAANDIKO MATAKATIFU YAMESEMA japo usaidizi unaotajwa na wanaume wa sasa ni NGUVU KAZI wala sio kama MKE atakuwa sehemu ya maisha ya Mwanaume. Asilimia chache ya Wanaume wajuao THAMANI YA MWANAMKE wao humtazama Mwanamke kama MUUNGANIKO WA KI NYOTA ili kuleta NEEMA KATIKA FAMILIA 👪
Mwanaume ambaye ANADUMU NA MWANAMKE NI YULE AJUAYE MKE NI SEHEMU YA MWILI WAKE maana yake pasipo Mke yeye hajakamilika huyo ndiye Mwanaume🤝