Dunia ya sasa neno NAKUPENDA limekuwa kama ALAMA YA WITO WA MWANAMKE KWA MWANAUME na kwa sababu MWANAMKE amekuwa na uhitaji mkubwa kutafuta PENZI LA KWELI mwanya huo huo wanaume nao wanapitisha UONGO WAO ILI KUHALALISHA MBINU ZAO JUU YA KUMKAMATA MTOTO WAKIKE👫
Tatizo kubwa lililo angamiza MAHUSIANO MENGI NI UONGO😭😭
Mtu ku-fake uhalisia wake na kupanda PENDO LA ULAGHAI na mwisho kabisa ni MHANGA KUYAONA MAHUSIANO HAYANA MAANA na kumbe Mapenzi ni MATAMU isipokuwa ukikosea kuchagua, Wanaume wengi WAMEKUWA na ULAGHAI kwa Mwanamke kwa sababu wanaamini kwa sasa MWANAMKE NI MHANGA WA MAPENZI kuliko Mwanaume, Tofauti ya Maumivu ya MAPENZI baina ya Mwanamke na Mwanaume ni moja tu:-
▪ MWANAUME ANATONGOZA NA MWANAMKE ANATONGOZWA hivyo Mwanamke anakosa nguvu ya kumtaka Mwanaume ila Mwanaume anayo nguvu kumtaka Mwanamke.
Subiri tamko la MWANAUME ifikapo ameonyesha matendo ya UHITAJI WA PENDO huku akikupa taswira ya UPENDO WA DHATI na kinyume chake usijaribu kumpa nafasi mtu anayesema NAKUPENDA wakati hawezi kuleta uhalisia wa UPENDO kupitia MATENDO YATOKANAYO NA UPENDO 💞