Amini kwamba MPAKA LIKALETA TASWIRA YA KUWA PITO maana yake tayari limeshindwa kuleta FURAHA MAISHANI MWAKO 😭
Jambo lolote Zuri huleta furaha pamoja na AMANI kama hautaona hayo maana yake UNAPASHWA KUJITENGA NALO japo ni ngumu ki mtazamo lakini ni rahisi kuleta UKOMBOZI 💪
Lililo maanishwa kuwa upande wako huwa HALILETI MAJUTO japo changamoto huja kuleta UKOMAVU hata ushindi pamoja na MAFANIKIO 🤝
Kuishi na Yaliyopita ama lililopita ni kujitaabisha mwenyewe, Yaache yapite na yapoteze kwenye fikra yako ili uweze kuruhusu KUYAISHI MAPYA YALIYOKO MBELE YAKO🤝
#Elista_Kasema_ila_Sio_She