-->

ULINZI WA MWANAUME KWA MWANAMKE WAKE NI UPENDO PEKE YAKE.

Image may contain: 1 person, smiling, sitting and close-up

Wanaume wengi wameishi na wenza wao kwa kuwachunga kupitia:
 VYAKULA.
 MAVAZI.
pamoja na mahali pa KULALA kwamba hayo yanaweza kumfanya Mwanamke asiweze kudanganyika, Mwanamke ni kiumbe wa ajabu mno KAMA ANAWEZA KUONDOKA KWENYE GHOROFA🏣 KUMFUATA MWANAUME MASIKINI kuna la kushinda hilo?
Nielewe Mwanaume na ufahamu UPENDO PEKEE NDO UNAWEZA KUMLINDA MWANAMKE haya Mengine hata wao wanawake wanamudu kuyapata kwa jasho lao jembamba🙄
Sasa wewe mchunge Mwanamke wako kwa VITU ili uje kushangaa WENYE UPENDO WAKIKUNYANG'ANYA MWANAMKE WAKO.
Ukijua hitaji la MWANAMKE UMEWEZA KUMMIRIKI lakini kama hutajua hitaji la MWANAMKE niamini ATAISHI NAWE KAMA KIVULI na moyo wake utakuwa kwa MTU MWINGINE na mwisho kabisa ni wewe kubakia PICHA YAKE KWA AJILI YA KUKUTAZAMA KAMA MUME ila uhalisia ukawa kwingine kabisa, Panda UPENDO KWENYE MOYO WA MWANAMKE niamini HATADANGANYIKA kinyume cha hapo FIKIRIA ZAIDI UTAACHWA LINI😂😂
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria 🔨
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU