-->

USIUSEMEE MOYO πŸ’– WA MWINGINE JUU YA UPENDO πŸ’ž WA DHATI WAKATI HAWEZI JAPO KUWEKEZA MUDA JUU YA UHUSIANO/NDOA YENU πŸ€”


Upendo wa kweli Una VIGEZO VYAKEπŸ’―
Kwa vyovyote vile ili kubaini kwamba upo mahala salama YAKUPASA KUJUA UWEKEZAJI WA MWENZA WAKO KATIKA HUO UHUSIANO/NDOA mliyopo, pamoja na wewe mwenyewe kujua UNAWEKEZA NINI KWAKE? Dunia tuliyopo maana ya UPENDO inatafsiliwa vibaya, Kwa sasa ili Mtu ahisi UPENDO eti unawajibika KAMA SIO CHIMBO LAKE "wakara wa miamala" BASI UWE KIBURUDISHO CHA HAJA ZAKE ZA MWILI.
Uwekezaji muhimu kwenye UHUSIANO/NDOA ni UPENDOπŸ’ž na kinachofuata hapo ni MUDA⌚ automaticaly mengine yatazaliwa ndani ya hayo, Huwezi kuji-MWAMBAFAI UPO KWENYE PENZI TAMU huku ukijua mwenza wako hata kwenye NDOTO ZA MAISHA YAKE HAUMO ila upo kutumika kama BIG G kipindi cha KINYWA KUCHACHUKAπŸ˜‚πŸ˜‚
Watu wa sasa wametawaliwa na UBINFSI kwamba kuliko kuwa MKWELI basi yupo tayari kuugharamia UONGO ili tu akupate kwa haja zake πŸ’―
Kuliko kujipa KIBURI kwamba unae AKUPENDAYE wakati huo wewe ni wa MPITO hesabu nafasi za ukweli ulizopewa nae, Kisha Chukuwa HATUA kuamini kwamba :-
β–ͺ ANAYEKUPENDA HAWEZI KUKUFICHA HATA USHUZI WAKEβ›”
Mapenzi yenye TIJA ni yaliyo na UHURU NA UWAZI πŸ’― kinyume cha hapo MPO KWENYE KUTEKELEZEANA MAMBO YA NGUONI πŸ‘™
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria πŸ”¨
Share:

Related Posts:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright Β© 2025 UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU