-->

MWANAMKE FAHAMU NAMNA YA KUTOFAUTISHA HITAJI LA MWANAUME KWAKO.


Mwanaume kwa sababu zake kwako anaweza kutumia AKILI, PESA NA MALI zake ili tu uwe Mwanamke wake, Swala la UPENDO WA MWANAUME KWA MWANAMKE linabakia kuwa kama FUMBO kwamba anaweza kukupenda baada ya wewe kumpenda ama anaweza kukupenda kwa sababu umemvutia ki MAHABAπŸ‘Œ
Mwanaume anapokuja kwako USIMTARAJIE KATIKA UPENDO WA DHATI ila unaweza kumtarajia kwa UPENDO WA MATAMANIO KWA MAJAALIWA YAKOπŸ˜‚
Mwanamke fahamu wazi Mwanaume anapokuja kwako kwa kusema anahitaji nafasi uwe Mwanamke wake ujue VILE ULIVYO NJE NDIVYO ALIVYO VUTIWA NAWE japo anatarajia na radha yako ya ndani itafanana na urembo wako wa njeπŸ˜‹
Ndo Maana SPEED YA MWANAUME KUKUHITAJI HUKOMA PINDI UNAPOKUWA UMEMVULIA NGUO πŸ‘™BAADA YA KULINGANISHA MUONEKANO WAKO PAMOJA NA RADHA YAKO YA NDANI NA KUKOSA UHALISIA ALOUTARAJIAπŸ˜‚πŸ˜‚
Japo hutaweza kubaini kwa hakika NI NINI MWANAUME ANATAKA KWAKO ila unawajibika kukataa kuwa JARIBIO LA RADHA AITAKAYO kwani Mwanaume sahihi ni mwenye malengo ya MAISHA kwani hana mihemko zembe, ila Mwanaume mwenye papara ya NGONO ni mwingi wa ulaghai ili atimize haja yakeπŸ’―
Ni heshima kwako Mwanamke ikiwa Mwanaume atakutamani kwa muonekano wako wa nje halafu akafurahia RADHA YAKO πŸ‘™kwani anaweza kubakia nawe.
Muda Mwingine RADHA YAKO INATOKANA NA MAUMBILE YA MWANAUME MWENYEWE japo wanaume wenyewe hawajui hiloπŸ˜‚πŸ˜‚
Ndo maana VITA VIKUU VYA WAPENZI NI MAUMBILE kwamba Mwanamke analalamika Mwanaume ana kibamia na Mwanaume analalamika Mwanamke ana πŸ₯£πŸ˜‚
NAHITIMISHA;
• KUIJUA SIZE YA MAUMBILE YA MWENZA WAKO NI NJIA YA KUJIPIMA KAMA UTAKUWA SURUHISHO LA UTAMU WAKEπŸ’―
#Elista_kasema_ila_sio_sheria πŸ”¨
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU