MWANAMKE/MWANAUME TOFAUTISHA UPENDO NA MIHEMKO YA MWILI "nyegezi" WA MTU AJAYE KWAKO KWA SABABU AWEZA KUONYESHA MATENDO YA UPENDO NA KUMBE AMEWAKA TAMAA NA KUJIKUTA ANAJISHUSHA KWAKO ILI APONE😎
Mtume Paulo alipata kunena;
"KWA SABABU HAMKO KAMA MIMI BASI KILA MTU NA AWE NA WAKE"
Kwanza ifahamike kwamba TENDO LA NDOA sio Swala la kubahatisha na kama unabahatisha KAMWE KIU YAKO HAIWEZI KUKATIKA⛔
Tuliambiwa kila Mwanaume na awe na kisima chake mwenyewe, Utachota maji hapo mpaka kiu yako iishe, Lakini Mwanaume ama Mwanamke anapokuwa na mtu ambaye hamtimizii kiu yake niamini ndo maana USALITI HAUTAKAA UISHE Kwani unajikuta kiu yako ni ya lita moja halafu unakutana na mtu anakupa nusu kikombe kweliiiiiiiiii Jamani?
Unajua katika vitu vigumu na vibaya ni pale anakuja mtu kwa mtazamo wa STAND KUU MWANZA "nyege.....ziii" halafu kavaa uso wa MBUZI akiomba PENZI kwa mgongo wa UPENDO na kumbe hana lolote Yaani ukosee umvulie tu weee akimaliza hajui tena kama na wewe UPO DUNIANI😅😅😅
Mapenzi yanayoendeshwa na NYEGE...ZIII kwa hakika yanakondesha MOYO na mtu usipojua kutofautisha baina ya hilo na UPENDO wewe ni majeruhi wa mapenzi wallah PF3 hupewi hayo madonda yako UTAKUFA NAYOðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Kwa sasa walio wengi UPENDO WAO UNATOKANA NA MUONEKANO WA MTU kama humvutii Basi atapita kama upepo wa kimbuga akuachie vumbi tu😅😅
Kataa kutumiwa kama chombo cha starehe ya Mtu hata kama unasikia hamu Basi zizuie tu usubiri atakayekuja kwako kwa UPENDO kuliko kwenda kumaliza hamu kwa Mtu mwenye hamu zisizoambatana na UPENDO ⛔