-->

Hivi wanaume wenzangu TUNAKWAMA WAPI KUPEWA HESHIMA NA UTII WA MWANAMKE?


Image may contain: one or more people, sky, cloud, outdoor and nature

Leo nawapa ya MOTO kama ukitema UME-FAIL ila ukiimeza UMEKULA BINGO. Kwanza napenda kila Mwanaume ajifunze kuishi na Mwanamke wake kupitia WANAWAKE WA NYUMBANI KWENU namaanisha kuna Mama, Dada, Shangazi, na wengine hata MAJIRANI hao ukijua MAHITAJI YAO KWA MWANAUME itakupa namna nzuri ya kuweza kukabiliana na MWANAMKE WAKO.
Rafiki niwe mkweli wala nisiwadanganye DUNIANI HAKUNA MWANAMKE HAPENDI KUPEWA na ukimuona huyo ujue wazi ni muongo na ana SIRI NYUMA ambayo muda si mrefu itakuwa wazi, Kwanza mjue jambo moja;
KAMA HUMHUDUMII MWANAMKE NA ANAJUA WEWE SI MGONJWA UJUE AMEKUFANYA KILEMA CHA FIKRA hapo cheo chako ni MTULIZA KITI kwani anajua wewe NI TEGEMEZI na malipo yako kwake ni USAFI WA NYEGEZI.
Ni kitu kigumu sana kwa Mwanamke kutohudumiwa, Yaani kama anaweza kuwa na subra basi HIWEZI KUZIDI MWEZI MMOJA zaidi ya hapo mwenzio aliisha jiongeza na anakuvutia kasi tu siku zako zikitimia UTAJUA KWAMBA UJINGA SIO KUTOSOMA BALI UJINGA NI KUWA TEGEMEZI😅😅😅
Zinduka Mwanaume uepuke kutumika kama SEX MACHINE😎
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria🔨
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU