-->

MWANAMKE KAMA HUJAMPENDA MWANAUME USIMPE MUDA WALA NAFASI YA YEYE KUENDELEA KUKUFIKIRIA NA KUKUPENDA⛔

Image may contain: 3 people, people sitting and indoor

Kuna hatari huwapata wanawake na wala hawaijui, Kwanza Mwanamke tambuwa kwamba;
"WANAUME WOTE UPENDO WAO HUAMBATANA KINYONGO"
kwamba ukimkubari anajiona KIDUME ila ukimzungusha automatically kinyongo chake husitawi, ole wako ujichanganye sijui huko ulikokuwa unaringa nako kukazingua ukataka uwe na ulokuwa unamzungusha wallah UTALIWA ili akukomeshe na ili akupende tena ni pale UTAKAPOKUWA UMEMVUTIA FARAGHA vinginevyo wewe ni KIRAKA mpaka pancha ipatikane MAJUTO NA UPWEKE unakuhusu. Unajua kuna Wanawake wana tabia ya STAKI NATAKA hao bwana huambulia vilio tu, Maana kwa vinyongo vya wanaume wala hana mahala ataponea, Ukiamua kuwa na Mwanaume amua mazima na kama unadhani HAKUFAI basi kataa hata MSG itamsaidia Mwanaume kukata tamaa, ila ukiwa unajaribu kama umpe nafasi ama usimpe halafu ana nafasi ya kupenyeza MANENO MATAMU mwisho ni kumpa upenyo wa KUKUONYESHA yeye ni nani, Na mwenzio akiisha KOZOAAAAAA wala humtishi MIONDOKO kwani ushakuwa farasi wake😅😅
MWANAUME aweza kukupenda kisa UMEMKUBARI bila kumzungusha, Na Mwanaume Huyo huyo akawa na KINYONGO juu yako kisa ULIMZUNGUSHA😅😅
Tatizo kubwa ni;
Mwanaume kuamini ana haki ya kummiliki Mwanamke yeyote na kwa muda autakao, Hata asiweze kujua kwamba MWANAMKE AWAPO NA HIYARI YAKE HATA BILA TENDO LA NDOA anaweza kujawa HISIA kwa matendo mema ya Mwanaume hata akajikuta BUGANDO KUNAMWAGIKA UTELEZIIIIII😎
Kwanza kama kuna kosa kubwa kwa Mwanaume ambalo akilitenda AMEJIKOSESHA HESHIMA KWA MWANAMKE ni pale;
MWANAUME KUWA NA MWANAMKE AMBAYE HAMPENDI Yaani hakuna kitu muhimu kama KUPEWA NAFASI NA MWANAMKE AMBAYE NAFSI YAKE IPO KWAKO maana ni rahisi sana kwa Mwanamke huyo hata ukimshika tu BUGANDO INAITIKIA ila ukitaka kupata fedheha MWANAMKE ASIWE NA HISIA NA WEWE HALAFU UMDANDIE YAANI HATA UFANYEJE KUMPELEKA KILELENI UTAPATA TAABU SANAAA😅😅😅😅
Yaani wagumu kukozoaaa hao, Halafu sasa asikozoeeee MATUSI YOTE YATAAMBATANA NA WEWEEE! Mapenzi ni HISIA na hisia inatokana na AKILI hivyo ZINGATIA VIGEZO UONEKANE MWANAUME MASHINEEE🔩
Na wewe Mwanamke kama humpendi usijaribishe Fanya kama hukuwahi muona, kuliko kukurupuka ukajikuta Uko na Mwanaume hata akikushika huhisi kitu si bora ukasubiri ili aje wako wa HISIA ili ufurahie UMWANAMKE wako hapo hata ukijishaua una haki, Maana ujue MAZOEA yana taabu unaweza kujikuta UMEMZOEA MTU wakati humpendi ni HASARA KWAKO.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU