Tuambizane ukweli na ifahamike wazi KILA MWANAMKE ANAHITAJI KUHUDUMIWA lakini ukiona Mwanamke hakuombi wala hakuhimizi kusimama kama MUME KWAKE ujue ama uvumilivu au ni ile hali ya KUJUTIA KUOLEWA NAWE.
Mwanamke hata awe na pesa kiasi gani lakini akiona kwa umasikini wako umetambuwa wajibu wako hata ukaweza kumnunulia hereni WALLAH UMEUSHIKA MOYO WAKE.
Unajua Mwanamke hutazama zaidi ATTENTION YA MWANAUME kuliko ambavyo wanaume wanatumia akili zao KUMRUBUNI MWANAMKE kwa sababu Mwanamke anaishi na Mwanaume kwa kufuata ahadi pamoja na vile Mwanaume anaonyesha UWAJIBIKAJI .
Raha aipatayo Mwanamke awapo na Mume ni pale Mume anapokuwa ANAWAJIBIKA KWENYE FAMILIA YAKE na hapo ndipo inakuwa rahisi hata kwako Mwanaume kumgusa Mwanamke wako akapata HISIA ila kama unamfanya aishi na stress za kuipambania familia yake na wewe hujali kama UNAHITAJIKA KUIHUDUMIA FAMILIA YAKO niamini hata kama utampa ufundi gani kitandani kamwe hawezi kuwa NA HISIA NAWE⛔
Mwanamke hata upatikanaji wake alipewa ubavu wa Mwanaume sasa kama hujui kwamba HAWA VIUMBE UPATIKANAJI WAO NI KUPEWA Basi usilaumu anapokuona hufai na kwenda kwa Mwingine, Maana ungejua wajibu wako UNGEMPA SITAHIKI ZAKE halafu ukajitutumua na kitandani hapo UNGEELEWEKA💃💃
Ujinga wa wanaume ni pale tunapoamini kwamba KWA SASA WANAUME TUNA SOKO KUBWA KWA WANAWAKE hata kila mmoja akatamani kupata Mwanamke ili amlee huo ni UMAMA na wakati wewe ni MBABA😅😅
Wa kulelewa ni Mwanamke wala sio Mwanaume, Pengine hamjui Kwanini kwa sasa WANAWAKE wanamahitaji makubwa ya wanaume kuliko zamani? Leo ngoja nikuibie siri;
▪WANAWAKE WENGI HAWAFIKI VILELENI KWA SABABU WANAUME TUMESHINDWA KUKABILIANA NA HISIA ZA WANAWAKE ZETU NA BADALA YAKE TUMEJIKITA KUWAFANYA WANAWAKE KUWA VITEGA UCHUMI kitu hicho ndicho kinawatangisha wanawake wengi Kwani MNAWACHAFUA NA OIL ZENU HUKU MKIWAACHA WAKIWA HOT🔥
Mwanaume halisi lazima ajue kucheza na HISIA za Mwanamke ili amfikishe kileleni, Sasa wanaume wa sasa mnafafanua mkiingia tu Kwanini mtoto wakike asitafute mwingine? Halafu eti mnawaita MALAYA😅😅
Hebu mpandishe HISIA halafu umfikishe KILELENI uone kama atatamani Mwanaume Mwingine😅😅
Jifunzeni MAUNO muwapo juu ya Mwanamke ili UZUNGUKAGE KAMA FENI wallah kuta zote utazigusa na Mtoto kuwa hoi, Hapo sasa PUMUA NA WEWE😎
Kumbuka kumhudumia Mwanamke wako ndipo umuandae kwa mambo ya CHUMBANI kinyume chake MTABAKI kuwalaumu wanawake huku mkijua walitokana na nyinyi iweje mkomee kuwapa mbavu tu? Wapeni vyote muone UTII wao.
#Elista_Kasema_ila_Sio_She