-->

KWANINI WANAUME HAWARIDHIKI NA MWANAMKE MMOJA?


Image may contain: 5 people, people smiling, people standing
Kwanza kabisa ifahamike kwamba;
Mwanaume kwa uhalisia wake HARIDHIKI ila ANACHOKA ndo maana unaweza kumkuta mzee lakini Bado anabebelea visichana, Lakini ikitokea Mwanaume AKACHOKA maana yake hawezi kusumbuka na wanawake.
Kwa maana hiyo Mwanaume asikudanganye kwamba HANA MWANAMKE MWINGINE ila Ukiona Mwanaume amekuwa mchovu kwenye kuhitaji TENDO LA SIRI ujue mizuka yake inashuka na baadaye atamuweka Mwanamke wake mahala salama sana, Unakuta wanaume wanalalama ooooh wanawake wa sasa BOMU hata bikira hawana, Wakati ukifuatilia hata Mama zetu walivumilia sana kwenye NDOA zao wakati na bikira walizitunza kwa Mwanaume atakayemuoa lakini HAIKUSAIDIA KITU
Ni kweli kabisa MUNGU kumuumbia BIKIRA Mwanamke alimaanisha kwamba NI KWA MATUMIZI YA MWANAUME MMOJA japo ikumbukwe kuwa MWANAMKE KUFANYA TENDO LA SIRI haimaanishi ndo kutolewa BIKIRA maana awali ya yote NI ILE MICHEZO YA UTOTONI aka TAYARI BADO hiyo nayo ina ukakasi kwa Wanawake ila sio kwa kiwango cha KUTOA BIKIA😅😅
Hivyo kila Mwanamke na ajue MWANAUME HARIDHIKI bali ANACHOKA sasa mpaka achoke sijui utakuwa umepitia changamoto ngapi but yote na yote HAKUNA MWANAUME WA PEKE YAKO laa kama Kuna MUUJIZA katika hilo, Namaanisha kwamba UKITAKA KUFURAHIA MAPENZI UMPATE MWANAUME ALIYECHOKA NA HAYO MAMBO ila kama mwenzio kachoka halafu wewe nae DAMU YA MOTO jifunge speed limit ili kukwepa WIVU WA KIUME laa sivyo WAFAAA😅😅
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria 🔨
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU