-->

UNAHITAJI MWENZA MWENYE MAPENZI YA DHATI, HUYU HAPA


Leo nitawajulisha ni vp unaweza kumfahamu au kumpata mpenzi wa kulienz penz lako kwa kiasi kile kile au zaid ya unalomwonyesha.
Ni ukweli usipingika kuwa ni vigumu mno kufahamu kama mpenz uliye naye anakupenda kwa dhat kutokana na ukwel kwamba upendo wa mtu kwa mwingine, hauwez kuonekana kwa macho bali ni hisia zake zilizopo moyon mwake.
Wapo wanaoamin yule anayekununulia zawad mara kwa mara au anayekuvulimia nyakat za shida, ndiye akupendaye kwa dhati, wengine
wakiamin wapenz ambao ni wavumilivu kwa wenza wao, wenye kusamehe pale wanapokosewa, wasio wachoyo na wanaopenda ndugu wa upande mwingine, wenye wivu, wepes
wa kuomba msamaha wanapokosea na mengine kama hayo, ndiyo wenye mapenz ya kwel.
Lakin tujiulize, ni wangap walikuwa na wapenz wenye sifa kama hizo lakin mwisho wa siku walitendwa?
Bila shaka ni wengi mno. Sasa ni vp tunaweza kufahamu wapenz wenye mapenz ya kweli? Ipo njia ambayo ni rahis mno na isiyo na gharama yoyote ya kuwa na wapenz wenye mapenz ya dhati.
Njia hiyo si nyingine bali ni kutotumia macho yetu kuchagua wapenzi.
Kama kwel haupo tayar kutendwa na mpenz wako, hata siku moja usikubal macho yako yakuchagulie mwenza.
Macho yetu mara zote yamekuwa yakiangalia aidha uzur wa sura wa mtu, uwezo wake kifedha, rangi, elimu, kimo, umaarufu wake, huku wengine na sisi tukibabaishwa zaid na urefu wa nywele zake au ametokea kabila ambalo linasifika kwa ‘mambo fulani’ au la.
Kwa hali kama hiyo, huwez kubain kama huyo unayemtolea macho anaweza kuwa na mapenz ya dhat na ww.
Tufanye nn sasa? Ni rahis mno. Kama haupo tayar kuteseka kimapenz ni vema kumshirikisha Mungu wakat unapotaka kupata mwenza wa kuanzisha naye uhusiano wa kimapenzi.
Unachotakiwa kufanya ni kuongea na Mungu wako kuwa unahitaj mwenza atakayekuwa na mapenz ya dhati.
Katika hilo, unatakiwa kuwa makin kwan wakat ukifanya hivyo, kumbuka shetan naye atakuwa akisikia, hivyo anaweza kutangulia kukuletea watu wa kila aina, hasa wale anaoamin ndio ugonjwa wako.
Hivyo bas kwa kila atakayekuja mbele yako, ni vema ukamuuliza Mungu wako kama huyo ndiye sahih kwako kulingana na ubora au udhaifu wako.
Ni waz iwapo utamshirikisha Mungu katik kutafuta mwenza wa kumkabidh moyo wako, hawez kukuangusha hata kidogo.
Hata hivyo,epuka kutanguliza mbele vigezo kama nilivyovitaja hapo juu kwan kufanya hivyo, unaweza kujikuta ukimkataa mpenz atakayelienz penz lako ati tu kwa sababu si mweupe kama unavyotaka na kujikuta ukiingia mkenge.
MWISHOO
Image may contain: 2 people, text that says "@MARRIEJEINTZ Tuliambiwa Mpende Akupendae,Ila sikuhizi imekua ngumu sana kujua nani natupenda,Maana kuigiza mapenzi imekua fashion."
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU