-->

MWANAUME AKIUJUA UZURI WA NJE WA MWANAMKE NDIPO ATAKAPO WEZA KUTULIA NA MWANAMKE WAKE KWA SABABU UZURI WA NDANI NI SIRIπŸ’―


Kwanza nieleweke wazi kwamba;-
πŸ‘‰πŸΌ WANAUME WANATAMANI UMBO/MUONEKANO WA MWANAMKE JAPO WANASAHAU HITIMISHO LA TAMAA ZAO NI KULALA NA MWANAMKEπŸ˜‚
Mwanaume kutojua uzuri wa Mwanamke ni kwa sababu anaanza kumtamani kwa muonekano halafu kumbe mwisho wa yote lazima vyuuuupi πŸ‘™ vikatolewe na hapo ndipo hukumu ya PENZI husika kusomwa, Kwamba TUTAENDELEA ama NDO MWISHOπŸ˜‚
Mwanaume akimtamani Mwanamke kwa UZURI WA NJE hataweza kukabiliana na WIVU wake mwenyewe maana yake atabakia akililia penzi la Mwanamke huyoπŸ’―
Ila kama atatamani UMBO LILILOBEBA STAREHE YA MWILI ILIYOMO NDANI YA MWANAMKE HUYO niamini atalala na Mwanamke huyo na atamuacha, Unajua Mwanamke ni jinsia na kwa maumbile ya KIUME niamini narudia tena;-
πŸ‘‰πŸΌ HAKUNA MWANAUME ALIKUTANA NA MWANAMKE HAKUFIKA KILELENI.
Wanaume kufika kileleni kunatokana na wao wenyewe ila Mwanamke ili afike kileleni anategemea Mwanaume, Tofauti hiyo ndo inaleta maana yangu kwamba MWANAUME KUFIKA KILELENI NI LAZIMAπŸ˜‚
Mwanamke kulala na Mwanaume na akatoka kapa ni kitu cha kawaida sana, Kwa sababu Mwanaume akimpania Mwanamke hatamuandaaa na mahusiano mengi ni ya KUKURUPUANAπŸ€¦πŸ»β€β™‚οΈ
Kwa tafsiri fupi ya ujumbe huu;-
πŸ‘‰πŸΌ MWANAUME KUTOKUWA MWAMINIFU NI UKANDAMIZAJI WA HISIA ZA MWANAMKEπŸ’―
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria πŸ”¨
Share:

Related Posts:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright Β© 2025 UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU