-->

Anayekupenda yupo hivi 👇


1)ana huruma na ww . kuna mahusiano kat ya mapenzi na huruma , kikawaida akupendae ukuweka mbele kushinda nafsi yake mfano anaweza kulala akakupa chakula ww alafu yy akalala njaa .
2)anakusikiliza . Mara nyingi upenda kuwa vile ambavyo ww unamtaka awe , hii yote ni kuepusha kukuudhi .
3)Haogopi changamoto zako
>anazijua tabia zako na magumu yako lakini amekukubali na kukuridhia ulivyo
4)ufanya kila liwezekanalo kuijenga furaha yako mfano kukujali , kukuthamini na kukuheshimu
5)ana wivu pia kwa maana anakupenda
6)muwazi na mkweli . Hapendi kua muongo kwako
7)Anakusapoti kwa yako yote . Yupo kukutia moyo na kukusukuma ktk yote mazuri unayopenda kufanya mfano kama ni ndoto za kipaji , au ndoto za maisha n.k
8)Utunza taswira yako . Si mtu wa kukuchafua kwa watu kwa kukutangazia mambo yako nyeti bali ni mtu anayekutunzia siri
9)Mara nyingi huwa mnyonge kwako . hawezi kushindana na ww kwa namna yoyote ile mfano kubwatizana , atakuacha ww ushinde maana ni mtu wa kujishusha sana kwako .
Share ukipenda..............................
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU