-->

ACHA UKICHAA wa MAPENZI

Image may contain: 2 people, people standing
Mfano unamkuta MTU unae mpenda yupo sehem na MTU mwingine afu wewe unaanza kuleta ugomvi matusi mda mwingine unamvamia MTU mwilin ili umpige.. Unatafuta siraha umpige nayo.
SWALI
Ukishafoka au kutukana hata kumpiga MTU utakuwa umembadisha tabia MTU wako?
Umetukana na kugombana na kuumizana lakin bado unaendelea nae..sasa mbwe mbwe za matusi na ugomvi vilikuwa vya nn kama unajua huwez muacha?
Leo hii unatukana na kuleta ugomvi dhidi yao afu kesho unasikia wanatangaza Ndoa utajisikiaje? Hapo jihesabie kuwa wewe ndo ulikuwa shetan wa kujaribu kukwamisha safar yao ya Ndoa.
ZINDUKA
Kuna mda kuwa na subira na tumia busara kufanya maamuzi na sio kukurupuka kesho ukaonekana mjinga wewe. Usitake kuonesha kuwa we unawivu sana au hasira kumbe ndo unaonesha madhaifu yako.
Mambo mengine yamalize kimya kimya na sio kutaka kuwafurahisha watu ukaishia kuchekwa..
Kuna mda utatumia kila aina ya ugomvi ila wao hawawez acha mahusiano yao.. Utamuachanisha na huyu kesho yupo na yule.. Utaendelea kuumia we tu.
Kuna mda huenda unatumia nguvu kumbe wewe ndo haupo ktk mipango yake ya kuishi pamoja. Ila unae muona mwiz wako kumbe ndo mwenye mamlaka na mtarajiwa wake.
Hivyo kuna mda ukiona usaliti BA's Fanya uamuzi sahihi wa kuachana nae ili ubak salama na aman yako.
Lakin kama unajua huwez kumuacha BA's acha kumchunguza na jifanye huon uchafu wake.. Usitake kujua simu yake INA nini yupo na nani maana utajitesa tu.
Inaumiza
Kusalitiwa na kuachwa
Lakin kuna mda jifunze kuupuzia hata kama ngumu kumsahau
Mpaka anakusaliti tambua kuna sababu kama sio tamaa zake basi huenda yeye ndo hakupend we kwa sababu anazo jua yeye.
Acha kujiona we ndo unajua kupenda sana kias cha kushindwa Fanya mambo yako kisa upumbavu wake. We unaumiza kichwa wao wanacheka na kupigana na mito na makofi yasio umiza
Kama hakupend itabak kuwa hivyo tu Siku zote na kama hakuheshimu itaendelea tu. Usiwe na upotofu kuwa uvumilie kesho atabadalika uvumilie. MTU mwenyewe huenda sio MKE au MUME afu kutwa unalizwa tu umetulia kama mjane/mgane na USO wako wa simanzi
Fanya mambo yako unapo ona MTU hana hisia nawe wala hakuheshimu.
Utampata aliye sahihi kwako. Fanya kama uliye mpenda amesha kufa hivyo utakutana na mwingine
POLE unae lia kisa kusalitiwa au kuachwa na kukataliwa..wenzako YES na NO hazibadilishi maisha yao hivyo ngumu kujua ana huzun au furaha.... Ukifanya MAPENZ kuwa ziada ktk maisha yako na ukawa bize na shughuli zako utaishi kwa amaNI
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU