-->

KISA cha MAPENZI USIOGOPE KUACHWA KUKATALIWA


Kuna kijana alitokea kumpenda binti mmoja ambae sio kwamba alikuwa mzur sana .. Alikuwa ni Dada wa kawaida tu kwa mwonekano nae jamaa valiondoka
Jamaa Mara kadhaa aliwambia malengo yakee rafik na ndugu zake pindi akimpata mrembo. Shida yake ilikuwa kuishi nae maisha ya Ndoa.
"Kabla kuwaza yote hayo hebu nenda mweleze hisia zako nae ajue ndipo mtapanga pamoja. Maana kukaa na kitu moyon bila kukueleza mhusika ni mbaya"
Jamaa aliambiwa na rafik yake kwel alitafuta mda na kufanya vile .Aliomba nafas kuonana na binti wakakutana.
"Sina maneno matamu ya kukuambia pia sina uzoefu wa kumweleza maanamke hisia zangu.. Lakin naomba ujue NAKUPENDA na ntapenda kuishi nawe..."
Kijana alijikaza lakin binti hakupepesa macho kumjibu
" Nashukuru kunipenda ila huna nafas ktk moyo wangu japo natambua toka mda kuwa unanipenda... Usiulize kwa nn siwez kuwa nawe"
Jamaa alitabasamu na kisha kumshukiuru bint kwa mda wake na kuondoka. Wenzake walipata taarifa kukataliwa kwake na kuingiwa na hofu juu ya usalama wake .
Kila walipo mpigia simu haikupatikana. Wakahis huenda amejidhuru au yupo kulewa kuondoka mawazo. Waliamua kwenda kwake ajabu walimkuta sebulen akiangalia Filamu.
Tena akiwa na furaha tale
" we jamaa mbona hupatikan ktk simu tukajua umepatwa na janga.. Afu yule mwanamke amesema umeongea nae amekukataa... Lakin bado una furaha kwa nn"
Aliwaangalia kisha alijibu kwa furaha na tabasam usoni
"Simu IPO chaji.. Afu ndio amenikataa ila haiwez nifanya nichanganyikiwe au nilewe kisa yeye. Nina furaha na aman moyon baada ya kumueleza hisia zangu japo zimekataliwa
Siwez umia kukataliwa nae ila yeye hajui tu kuwa amempoteza MTU mwenye UPENDO wa DHATI... Nilifikiria meng juu yake ila hayawezekan tena. Hebu kwanza tuliache hili jambo.."
Baada ya siku kadhaa binti aliye mkataa alionekana na kusikika akiwa amempigia magoti kijana mwingine huku akilia
" Joe kwa nn hunielewi ? Ntafanya kila utacho taka lakin naomba ubak nami tu achana na wanawake wengine..nakupenda naumia kwa usalit unao nifanyia.. Kwan mi Nina kasoro gan?"
" huna kasoro ila sina tu malengo nawe huwez kuwa mke wangu. Hivyo achana nami ..."
Jamaa aliondoka huku akisonya kwa dharau
Funzo
Usimchukie Mwanaume au Mwanamke anae amua kukuacha au kuku kataa maana ana sababu zake ambazo sio lazima uzijue. Huenda unapo muwaza nae anamuwazia mwingine.. Unapo mlilia nae analizwa na mwingine..
Usilazimishe MTU akupende wala usijilazimishe umpende maana huwez kuwa huru na huwez kuwa na furaha. Amesema hakutak bas tulia heshimu maamuzi yake
Nawe utampata MTU atakae ubariki moyo wako na kujivunia kuwa nae
Image may contain: one or more people, people standing and beard
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU