-->

Ukiona dalili hizi kwa mpenzi wako jua mapenzi yako yako hatarini kama hakuna usaliti basi we umeshaachika bali unajing'ang'aniza


1.mawasiliano kupungua
Hili ndio jambo la mwanzo kabisa mawasiliano ndio hujenga penzi kama mpenzi wako mawasilino yake yamepungua kwako huwa hakutafti kama mwanzo na ukimtafta anajidai alikua busy ujue tu hapo kuna kitu imefikia pahali hadi wewe ndio umtafute jua hapo kuna kidudu mtu tiari
2.Hasira
Ukiona mpenzi wako ni mtu wakukukasirikia bila sababu za msingi tena kwa vitu vidogo ye kanuna we unakua na kazi ya kumplz kila siku nakuomba msamaha hata kama kosa ni lako au hata kosa hulijui unaomba msamaha ilimradi tu kutaka amani hapo anza kumulika mwizi
3.Kujiskia
Ukiona mpenzi wako amenza kujiona kujikweza kweza yani anajiskia sana nakujiona kama wewe huwezi kuishi bila yeye jua tu hapo tiar umevamiwa mana mwanzo wapenzi ulimuona mnyenyekevu na mpole kama masabato lakni sasa amekua anjiona kama vile anaundugu na malaika jua tu hapo pamesha vamiwa anza kutafta ustarabu mwingine
4.Sio mchangamfu
Yani halii hii ndio hukatisaha tamaa unakua na mpenzi wako lakin hakuchangamkii wala hana raha nawewe ukiongea nae ni kama anakuambia aga uondoke yani unaongea anae yeye anaitikia tu mmmh au hebu nikumbushe umeongea nini ujue tu uyo uponae kimwili ila moyo wake upo kwingine
5.Hana dalili yoyote yakuku mis
Hapa ndio utachoka kabisa mana hata kama hamjaonana hata siku 3 wala hakumisi kabisa wala hasisimkwi wewe unajikuta unajisemesha mwenyewe kwa hizi siku atakua kanimis lakn kumbe wapi wala hata time hiyo ndo kwanza mwenzio hana hapajua tu wewe ni kama msindikizaji tena mbeba mizigo ukifika stand unarud mwenye mizigo yake anaeka kwenye gari anasafiri ukiona dalili kama hizi ukajing'ang'aniza kupenda ujue wewe umeamua tu kuutesa moyo wako nisawa na kuvuka barabara wakati taa nyekundu ishawaka!!
UTAMU KITANDANI APP
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU