-->

Nisikilize Kwa makini Unapoamua kuwa na mtu kuwa na mtu ambaye munaendana .




UTAMU KITANDANI APP..sio ww kivits unaparamia fuso utaumia tu!!unajiaona kabisaa ww hata bia hunywi unaparamia mtu amabaye anashinda bar 24 hours afu eti unategemea amani utaumia ndugu yanguu......unajijua kabisaa ww mtu wa tenzi za rohoni...unaparamia mzee wa banjuka juu!!kutwa yupo viwanja afu eti unategemea utakuwa na furaha!....kuwa na mtu ambaye ataleast munaendana..usiwe tu na mtu kwa sababu tu unaataka kuoa au kuolewa kuwa na mtu ambaye moyo umemridhia hata kuongozana naye barabaran una feel!!hutaona mtihani kuongozan naye!!sasa ww presha za kuoa au kuolewa zinakufanya uparamie mtu yoyote tu mwisho wa siku unaanza kuona aibu hata kuongozana naye..njiani ukiulizwa huyo ndio shem unaanza ooh!!aah..niiiii!!......kuwa na size yako unayoimudu..ikikupwaya pia itakutesaa!!! Unakuta we ki mwanafunzi cha chuo unaparamia watu huko ambao kabisa wanajua yaani wewe akili yako ni chips na hela ya birthday basi huwezi kudai ndoa maana anajua kabisa upo chuo, anakupotezea wakati ukija kumaliza chuo ulikua unajiona umefika ndio unaanza upya sasa maana unaidai ndoa wa kukuoa hayupo na uliwakataa watu walio kua wanakutaka utulie ukiwa chuo hivyo hivyo wakufanye mke ila kwa kutojua majira utoto utoto wako na kuhisi maisha ni starehe tu ukawa acha , usiwe na mtu unamuogopa kama baba mzazi hata kuachia ushuzi mbele yake unaogopa..kuwa na mtu ambaye unakuwa huru kumuachia ushuzi kwenye shuka afu bado mukaishia kucheka tu.....wengi wanumia na kuumizwa sababu wameparamia watu ambao sio size yao.
Na size yako ni pamoja na status yako, wewe huna hata mia unataka uwe na mwenye vitu unazi mwisho wake nini.. Uwe na moja ukiunganisha na moja yake muwe na mbili hii ndio maana ya size yako
@maisha_halisitz
Njoo upate ushauri ujue hatima yako ni unalipia tu elfu 10 Kwenye voda no 0756802580 then una kuja WhatsApp no 0656832100 jina litakuja la mme wangu emmanuel hosea
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU