-->

Ukiona nwanaume anabadilika kwa kasi ya 4G ni ishara tosha kuwa mahusiano yake mapya yanaendelea vzr!!

UTAMU KITANDANI APP

Ngoja nikwambie
Mtihani mgumu ni kumshauri mwanamke aliyependa!!hata aoane dalili zote kuwa penzi limekufa bado atataka kuvumilia na kuishi kwa matumaini akiamini huyo mtu ipo siku atabadilika!!nataka nikushauri kitu tu mwanamke !!ukiona nwanaume anabadilika kwa kasi ya 4G ni ishara tosha kuwa mahusiano yake mapya yanaendelea vzr!!!ukiona ww unaachwa loose kuna mwenzio anapewa muda mpka anaona kero!!ukiona ww hupigiwi simu ujue kuna mwenzio anapigiwa kutwa mara saba!!ukiona ww hajibu text zako ujue kuna mwenzio anachatishwa kila baada ya nusu saa!!!jiongeze acha kuwa mtumwa wa mapenzi eti kisa umependa!!..unajipotezea muda tu wa kukutana na watu sahihi!!!..mwenzio hana habar na ww ndio kwanz unakomaa kumpost hata ndugu yake wa bahati mbaya hakuna anayekujuaa!!kibonde nikikuambia usimpost mwanaume ambaye bado hajakuoa unaona na wivu!!!.dada zangu najua mukipenda kuna ka kiherehere ka kumpost bae wako ili tumuone tujue unapendwa ili tujue nyie ni nice couple!!sawa tunawaombea mema!!ila kamwe usimpost mwanaume ambaye hujulikani kwao !!kukutambulisha kwa marafiki sio kupendwa !!marafiki wanaweza kuwa na mafile hata 50 ya wanawake wake wote na bado wakakuita shem darling!!!basi ukavimba ukajiona main chick kumbe movies tu!!!!anza kutupostia mwanaume ambaye hata kwao wanakujua baba na mama ake na baadhi ya ndugu wanakujua hiyo ndio heshima pekee kwako ya kukupa kipaumbele hata kama atakuwa na chicks wengine!!sasa wewe komaa kumpost boyfriend!!na maneno matamu !!sijui my hubby.., sijui my future bae, sijui my mume, sijui nini!!ndugu yangu siku ukiachwaa utaliaaa na mengi!!NAKUKUMBUSHA TU MWANAUME AMBAYE HAJAKUOA HATA KAMA ANAKUPENDA KIASI GANI..HUYO BADO ANATAFUTA MKE BILA HATA YEYE MWENYEWE KUJUA......#MadamKasema
@maisha_halisitz
Zaidi njoo lipia huduma za ushauri lipia tu elfu 10 Kwenye voda no 0756802580 then una kuja WhatsApp no 0656832100 jina litakuja la mme wangu emmanuel hosea
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU