-->

✍️Ni makosa makubwa kumdharau Mume/Mke wako kisa umeona huko nje kuna mtu bora kuliko uliyenaye ndani


UTAMU KITANDANI APP
*✍️Ni makosa makubwa kumdharau Mume/Mke wako kisa umeona huko nje kuna mtu bora kuliko uliyenaye ndani*
*DARASA LA MAHUSIANO & MAFUNZO YA NDOA NA STORY*
DOCTOR LOVE  0658247651
ni makosa makubwa sana mbele za Mungu na ni kujitafutia laana. "Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha Mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uashserati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa, azini’'
✍️Wanaume wengi Wamewatia Wake zao majaribuni na kisha kuharibu Ndoa/mahusiano ya NDOA, kutokana na uvivu na kutopambana kufa na kupona kitandani. Inatakiwa kushughulika katika tendo la NDOA kwa akili na bidii sana kiasi kwamba Mke asisononeke kwa namna yeyote kwa kutotoshelezwa kitandani. Wanawake wengi wanaolia katika Ndoa nyakati za sasa, moja ya matatizo wanayolia nayo ni kutoteshelezwa katika tendo la NDOA .
✍️Imempasa kila Mwanandoa kuitafuta amani katika Ndoa yake bila kuchoka maana amani ya NDOA ni muhimu sana kwa afya ya imani, uchumi na hata utulivu wa akili.
✍️Mnapokuwa katika Tendo la NDOA, haina maana kutumia tafsida. Chepeo iite chepeo na usilete aibu za kusema "kijiko kikubwa"
✍️Kutoka nje ya Ndoa ni dharau ya juu na ya kiwango cha mwisho kwa Mume/Mke wako wa Ndoa. Asili ya dharau ni kwamba iwe inafanyika sirini ama hadharani, huwa haiiachi Ndoa ikiwa salama.
✍️Utafiti umethibitisha kwamba Wanawake ambao hawafikishwi kileleni katika Tendo la ndoa huwa hawawaheshimu ama kuwathamini Waume zao. Na ukiona kama anamuheshimu basi ni kwa kujilazimisha, lakini haitoki moyoni. Ukimumudu Mke kitandani hawezi kuthubutu kutokukusikiliza sebuleni. Tatizo la Wanaume wengi ni kudhani kuwa Uanaume ni kuungurumisha sauti pekee wanasahau kuwa thamani ya Mwanaume ni ufanisi wake kitandani.
✍️Katika mambo ambayo Mwanandoa anatakiwa kuangalia kama ndoa yake iko salama ni kuangalia kama anamridhisha Mume/Mke wake kimpenzi. Kama hamridhishi basi ajue eidha ndoa yake imeshaharibika au iko mbioni kuharibika. Suala la kushinda kumridhisha Mume/Mke wako sio jambo lelemama hata kidogo.
✍️Ndoa sio sehemu ya kujaribu na kupimana bali ni sehemu ya kuishi na kujengana.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU