-->

KAMA UPO KWENYE MAHUSIANO AMBAYO YAKO HIVI JITAHIDI SANA USIYAPOTEZE


UTAMU KITANDANI APP
*Kama umepata MTU anayekuelewa anayekuvumilia, anayekupenda kwa dhat*
*DARASA LA MAHUSIANO & MAFUNZO YA NDOA NA STORY*
DOCTOR LOVE  0658247651
Anayekujali anayekuheshimu anajivunia kuwa na wewe,
Ambaye hawezi kukaa siku nzima bila kukupigia au kukuandikia.
Ambaye hashindwi kutenga muda kwa ajili yako.
Anayehofu kukupoteza. Tafadhali mpende mtu huyo kwa nguvu zako zote.
🌹🌹🌹🌹🌹
Usilidharau wala kulibeza penzi lako kwa sababu watu kama hao ni nadra sana kuwapata siku hizi usiruhusu mtu huyo akuponyoke kwa sababu ya vitu vidogo vidogo kama wewe ndio mwenye makosa kubali na uombe radhi usiruhusu kiburi chako kikaua ndoa yako.
🌼🌼🌼🌼🌼🌼
Mshikilie mtu huyo Kwa uangalifu shikamana naye .uwe wazi kwake usiwe msumbufu kwake .uwe mkweli mwaminifu na mwenye shukuran.
Fanya kila linalowezekana kuhakikisha kuwa nyinyi wote mnaendelea kuwa pamoja kwa sababu huwenda usimpate mtu kama yeye.
Mwisho Upendo wa kweli ni Adimu sana siku hizi.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU