πΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉ
*πΉJaribu kumfundisha mtoto wako kwamba anapoamka kitandani atandike kitanda chake hatimae itakuwa ni tabia yake hata akiwa mkubwa*πΉ
*πΉMfundishe kwamba anapokula niwajibu kwake kuomba dua na kuondosha sahani aliyekula naye nakufuta hata Kama una kijakazi usikubali amfanyie yeye*πΉ
*πΉUsimfulie nguo zake za ndani mfundishe kujifulia mwenyewe polepole hatimae atazoea*πΉ
*πΉmfundishe kwamba ni makosa watu wazima wakiongea na yeye yupu hapo haipendizi mwambie awapishe wageni wakiwa na mazungumzo*πΉ
*πΉMwambie asiwe ni mwenye kupiwa piwa vitu na mtu asiyemjua kwani hiyo sitabia nzuri na huenda akahadaiwa aidha akabakwa au akatekwa nyara mwambie madhara hayo*πΉ
*πΉMkatazi kabisa asiwe ni mwenye kupigiwa mbizi na wanaume au yoyote kumuita mchumba manake hilo ni kosa nakiambiwa hivyo aseme haraka sana*πΉ
*πΉUsiwache bint wako wakike alale na mfanyi kazi kwani huwezi jua usiku anafanya nini mtoto wako*πΉ
*πΉJaribu Sana kuwa karibu haswa na mwanao wakike ile kukitokea jambo lolote uwe ni Mtu wakwanza kukwambia epuka ukali ulipita kiasi kwani utajenga uoga kwa mwanao*πΉ
*πΉMfundishe mwanao kwamba siri za nyumbani hazitolewe nje awe mwenye kuhifadhi ndimi zake na ajui kufanya hivyo ni kosa*πΉ
*πΉUsimruhusu mtoto wako kuwa na simu kwani simu zimeaharibu Sana watoto na Kama ina umuhimu chungunza Sana anachofanya mwanao kwa hiyo simu isije kuwa sababu ya maangamivu yake*πΉ
*Usimuruhusu CD yoyote atamthilia bila kuangalia kinachoongewa pale kwani siku hizi utandawazi umekithiri nawatoto wengi wanaiga kwa kuoana*πΉ
*πΉKabla hujamuhimiza mwanao kuswali hakikisha nawe unaswali kwani watoto wengi wanaiga vitendo kuliko maneno*πΉ
*πΉkamwe usikubali mtoto wako kusafishwa sehemu Za Siri na yeyote muhimu kabisa afanye mama mzazi namwambie asikubali kushikwa na yeyote sehemu*
*NADHANI NI UKUMBUSHO TOSHA KWA WA MAMA NA WAZAZI WATARAJIWA KWANI MAMA NDIO MADRSA YA KWANZA NA AKIONGOKA MAMA UMEONGOKA UMMA MZIMA*
πΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉ
*BY ADMIN*