-->

πŸ‡➿➿➿➿ *MSAMAHA KATIKA NDOA*➿➿➿➿πŸ‡

utamu kitandani app
*------•<○●πŸ‡●○°>•-----*
πŸ‡Shetani siku zote anafurahia sana WANANDOA WANAPOKOSEANA au kuwa na MARUMBANO au UGOMVI.
πŸ‡Yaani hukaa katika yenu, na akawa anachochea kuni za hasira, majivuno, visani, kiburi na anaanza kukumbusha na makosa ya mwenza wako ya siku za nyuma.
πŸ‡ATAMWAMBIA MUME WEWE NI MWANAUME BWANA USIOMBE MSAMAHA, lazima huyo mkeo ndiyo akuombea msamaha, au mkomeshe huyo amezidi, asikii wala haelewi.
πŸ‡Huku mwanamke atamchokea hisia kuwa UKIJISHUSHA NA KUOMBA MSAMAHA ATAKUONA DHAIFU, HATAREKEBIKA, ATAPATA USHINDI.
πŸ‡USIKUBALI katika NDOA YENU kununiana au kukaa siku nzima au hata masaa kadhaa bila mawasiliano kwa sabau ya kukwazana, UKIMYA WENU, ndiyo nafasi ambayo SHETANI ANAITUMIA kuvuruga UPENDO WENU, AMANI YENU NA FURAHA YENU.
πŸ‡Makwazo yapo na yataendelea kuwepo katika maisha yetu.
*πŸ‡TUJIFUNZE KUTATUA MAKWAZO KWA KUJISHUSHA NA KUOMBANA MSAMAHA, NAYE ALLAH ALIYETUKUKA ATAIMARISHA UPENDO WETUπŸ‡*.
πŸ‡πŸ‡
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU