-->

LADIES, UKIONA MWANAUME WAKO YUKO HIVI JIONGEZE MAPEMA, HUPENDWI.


UTAMU KITANDANIAPP
Ukiona mwanaume anakaa wiki moja, mbili na hata mwezi mzima bila kukuuliza chochote, jiongeze na uanze kuchukua hatua za kumtoa moyoni. Kama mtu hakujali ni dhahiri hana mpango na wewe, utateseka bure kuendelea kumuwaza wakati yeye anafurahia maisha ya uhusiano na mtu mwingine.

Mwanaume alikuwa akikupigia simu kila wakati, akikutumia ujumbe kila wakati lakini ghafla ameacha na anakaa muda wa mwezi au miezi bila kukupigia wala kukutumia uijumbe wowote, huyo hakutaki. Yeye hawasiliani na wewe lakini wewe kila uchwao ndiyo unakazana kumpigia.

Mbaya zaidi hata simu zako hapokei, hilo ni tatizo. Si mara moja au mara mbili unafanya hivyo lakini hajali, tambua kabisa unapoteza muda wako bure. Mwanaume huyo anakuwa tayari ana mtu mwingine au alichokuwa anakitafuta kwako ameshakipata au pengine matarajio yake kwako sivyo alivyotegemea.

Mwingine anakuwa mtu wa kukuita pale tu anapokuwa na matamanio ya kimwili. Anakuita na baada ya hapo, hazungumzi na wewe tena. Hakupi ushirikiano wowote hadi pale atakapokuwa anahitaji kuonana na wewe ndipo anakupigia simu kwa kujifanya anakusalimia ili ukimjibu vizuri, anaomba muonane faragha. Hapo ni sawa na kusubiri kivuli jangwani.

Mwingine ni yule akikuona sasa umeamua kua mbali naye kabisa yaani ku move on anakuja na vilio, upiga magoti kwamba amejirekebisha afu kumpa tu nafasi anakuomba siku ya sex mkisha kwichi tu anarudi kua yule yule,
My dia yeye hana shida ila shida nini wewe, wewe ni zuzu, boya, bwege, mjinga na hujitambui..
Ndio maana anakuchezea mchezo wa watu wa magonjwa wa akili mlembe na wewe bado upo tu..
Nisikilize mpe mtu nafasi, ukiona anaichezea mwambie, ukishamwambia afu bado anarudia yale yale jua ni makusudi anataka uelewe hana mpango na wewe jiongeze, sasa usipojongeza usidhani atakuhurumia wakati hata kama hana malengo na wewe ila kukutumia atakutumia tu.. Mpaka wewe uamue na ujihurumie
#MadamKasema
@maisha_halisitz
Kama umenielewa sema ndio madam
Zaidi njoo lipia huduma za ushauri lipia tu elfu 10 Kwenye voda no 0756802580 then una kuja WhatsApp no 0656832100 jina litakuja la mme wangu emmanuel hosea
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU