-->

KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA MJUE MWANAUME WAKO?

utamu kitandani app

Kama upo kwenye mahusiano ambayo unaona kabisa yapo siriasi na yanaweza kuelekea kwenye ndoa basi kuna vitu vidogo vidogo ambavyo kama mwanamke unatakiwa kuvijua. Wanawake wengi huharibu mahusiano yao kwa vitu vidogo ambavyo wanaamini wanavifanya kwa kujenga. Kwa mfano, kuvumilia, kuvumilia huua ndoa nyingi sana kwani wanawake huingia kwenye ndoa kwa kuigiza huku wanaume wakiingia kwenye ndoa wakidhani kuwa wanawake wao wanaridhika na aina ya maisha wanayoishi.

Labda niwape mfano mmoja, mwanamke anaweza kuwa na mwanaume Malaya ambaye anabadilisha wanawake kila siku, wakati wa uchumba asiongee chochote akisubiri wakati wa ndoa ndiyo aongee. Kwakua anabembelezea ndoa anaamini kuwa atabadilika, lakini baada ya ndoa tu mwanaume anaendelea kuwa Malaya huku mwanamke akianza kulalamika kuhusiana na tabia za mwnaaume. Unakuta ndoa ina miezi mitatu tayari washaenda ukweni zaidi ya mara tatu kushitaki.

Mwanamke kabla ya kuingia kwenye ndoa ni lazima umjue mwanaume wako na kujua namna ya kuishi naye. Ujue kuwa mwanaume habadiliki kwenye ndoa bali huharibikia kwenye ndoa hivyo ni lazima ujue namna ya kudili naye kabla ya kuingia kwenye ndoa. Wewe kwenda kumlalamikia kwa Mama yake, Baba yake haitakusaidia chochote zaidi ya kuwasumbua wazee watatu. Ni lazima ujifunze namna ya kuwa na furaha yako na namna ya kudili na matatizo ya mume wako bila kuwa mtu wa kulalamika na kulia kila siku.

Hapa ndipo kinakuja kitabu cha “Ndoa Yangu Furaha Yangu” kusome kabla ya kuingia kwenye ndoa kwani kitakusaidia sana na zaidi kuliko kusubiri ushaanza kupata matatizo ndiyo unakisoma. Bei ya kitabu hiki ni shilingi elfu kumi tu. Kukipata kitabu unalipia kwa M-Pesa no. 0742-381-155 au Tigo Pesa No. 0657-552-222 baada ya hapo kitabu unatumiwa kwa njia ya Whatsapp/Email/Facebook. Kitabu hiki ni soft copy hakuna hard copy (vya karatasi).
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU