Hatua 5 rahisi za kuachana na mpenzi wako bila KUUMIA moyoni
Inapojiri ni kuhusu penzi letu la kwanza, wengi wetu hushindwa kabisa kujiondoa hata kama tumevunjwa moyo na kuumizwa kabisa kihisia.Ni vigumu kuwasahau wapenzi wetu wa zamani jambo linalotufanya kurejea mara kwa mara hata tukiwa na wapenzi wengine.
Hatua hizi zitakuongoza kuhusu jinsi ya kuwaaga wapenzi wetu wa kwanza.
come up with your own title
Hatua za kumsahau mpoenzi wako wa zamani.Picha na:Hisani
Hatua Nyingine: Jamaa huyu alipoteza wanawe wawili na nduguye katika mkasa wa moto wa Naivasha
Hatua za kumsahau mpoenzi wako wa zamani.Picha na:Hisani
Hatua Nyingine: Jamaa huyu alipoteza wanawe wawili na nduguye katika mkasa wa moto wa Naivasha
1. Sahau kila kumbukumbu
Unapenda kuweka picha na jumbe za mpenzi mliyeachana naye?Iwe ni nguo alizoacha mlipokuwa pamoja?Kumbuka kuwa kuweka mabaki ya wapenzio wa zamani kuna uwezo mkubwa wa kukurejesha mikononi mwake hata kama una mpenzi au umeolewa kwa sasa.Choma vitu hivyo au uvitupilie mbali.
2. Jishughulishe
Usikae pekee yako kwa muda mrefu kwa sababu kufanya hivi kunarejesha mawazo ya zamani.Usisahau kwamba uliwahi kuishi bila yeye kwa hivyo hautaangamia ukisalia ulivyokuwa.Si mwisho wa maisha yako.
come up with your own title
Usikae pekee yako sana.Picha na:Hisani
Habari Nyingine: NABII huyu alitabiri kuhusu haya miezi 9 iliyopita.Tazama (video)
Usikae pekee yako sana.Picha na:Hisani
Habari Nyingine: NABII huyu alitabiri kuhusu haya miezi 9 iliyopita.Tazama (video)
3. Amua kubuni kumbukumbu mpya
Ili kumsahau mpenzio wa zamani itabidi ubuni mawazo mapya.Hii inamaanisha kutozuru maeneo mliyotembelea pamoja au kula chakula kinachokukumbusha kabisa kumhusu.Jaribu jambo jipya.Fanya kitu ambacho hujawahi kufikiria kufanya, utaweza kumsahau mpenzio na kutambua mambo mengi mapya unayoweza kufanya ambayo hukuyafikiria.
4. Epuka kuwasiliana
come up with your own title
Picha na:Hisani
Pata HAPA habari pindi zinapochipuka
Picha na:Hisani
Pata HAPA habari pindi zinapochipuka
Unaweza kubadilisha nambari yako ya rununu au kufunga zao.Futa nambari zao kutoka orodha yako na iwapo unaijua kwa kicha jaribu uwezavyo kutowasiliana naye,Jaribu kukumbuka nambari nyinginezo muhimu.Jishughulishe na mengine ili usiwe hata na muda wa kufikiria kuwasiliana naye.Baada ya muda utashangaa hukumbuki tena nambari hiyo.
5. Penda tena
Hii ndiyo hatua mwafaka zaidi ya kumsahau mpenzio wa zamani.Watafiti wamesema kwamba uwezo wa kuwapenda wapenzi wengineo aghalabu hutumiwa kuwatibu watu waliovunjwa moyo sana.Iwapo huna bahati ya kumpata mtu huyo mahsusi kumbuka kuna njia nyingi za kupata mpenzi mwingine. Kwa kufanya unachopenda zaidi, kufuga mnyama umpendaye au kwenda katika safari ambayo hutoisahau.