-->

NAJUA WANAWAKE HAMPENDAGI KUAMBIWA UKWELI, ILA ACHA TUWAGONGELEE TU HIVYO HIVYO:


Image may contain: 1 person, close-up

🌺 Mwanamke Umeolewa Tena Kwa Ndoa Halali Kabisa Mbele Ya Viongozi Wa Dini...Sasa Inakuwaje Unakuwa HiviπŸ‘‡πŸ‘‡??

🌺 Yani Kitu Kidogo Tu Umegombana na Mumeo, Unatishia Unarudi Kwenu...Eti unadiliki Kabisa Kumwambia Mumeo Eti Mimi Naondoka kama ndiyo HivyoπŸ˜‰

🌺 Hivi Hujawahi Kujiuliza Ni Kwanini Hata Pale Nyumbani Kwenu Kipindi Unaishi Kuna Wakati Ulikuwa Unapishana Kauli na Mama, Baba, Kaka na Dada Zako Au Hata Na Ndugu Zako Tu Wengineo?

🌺 Sasa Kama Ulikuwa Unaweza Kupishana Kauli Na Mtu Kama Baba au Mama Ambao Ndio wanakujua Wewe Vizuri Tokea Unazaliwa...Vipi Kuhusu Mtu Ambaye Umemjua Ukiwa na Yeye Akiwa ana Meno 32??

🌺 Kitu Kidogo Unakimbilia Kurudi Kwenu Hivi Mama Yako Nae Angekuwa na Akili kama Zako Ungemkuta Kweli Anaendelea Kuishi Na baba yako ???

🌺 Au Ulizani Ndoa ni Lele Mama Kama Unavyopost STATUS Kwenye WhatssAp au Facebook Account yako? Wewe Tulia Hapo Hapo Usiwe na Papara Haujajileta Hapo Kenge Wewe😠

🌺 Kama Ulikuja Hapo Kwa Kufuata Utaratibu na Umeona Mambo Yamekushinda Tulia HapoHapo Utaratibu Ufuatwe Wa Kukurudisha Kwenu...

🌺 Kitu Kinachoniuzi Wengi Wenu Uwa Mna-Beep Kuona Mwanaume Atafanya Nini Ukimueleza Hivyo...Sasa tulia Hapohapo Utaratibu Ufanywe Na Urudi Kwenu...ila Ukienda Kwenu Uende Mazima Ukakae hukohuko...Si Umewamisi Watu Wa KwenuπŸ˜€πŸ˜€

🌺 Mwanaume Mwenzangu Ukiona Tu Anadai Kwenda Kwao...Mruhusu Haraka sana Alafu Kama huwezi Kupata Mwanamke Mwingine Kwa Haraka...Tafuta Hata Dada Wa Kazi Kutoka Mbali Mlete Pale Awe Anashinda Hapo. Nasisitiza UsicheleweeeeeπŸ˜…πŸ˜…

🌺 Huyu Kenge Aliyetaka Kurudi Kwao Muache Akachukue Hicho Alichosahau Huko Kwao...Wala Usiumize Akili Kwa Mpuuzi Mmoja Alishindwa Kushika mafunzo ya Wazazi Wake. Narudia Muache Aendeee.....

ALAFU HIVI MAJANAMKE YA DESIGN HIYO πŸ‘†YAKISHAFIKAGA KWAO SIJUI HATA YAKIULIZWAGA NA WAZAZI WAO SIJUI UWA YANAJIBU NINI???

Ona BIBI HapaπŸ‘‡πŸ‘‡Anavyoizomea Mijanamke Yenye Tabia Kama IleπŸ‘†πŸ˜…πŸ˜…
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU