-->

MWANAUME USIPOLIFAHAMU HILI KWA MWANAMKE ULIYENAYE UJUE UMEKWISHAAA!!

Image result for JINSI YA KUMNYONYA MATI-TI MWANAMKE
Kuna kitu kipo lakini watu hawajui au hawjawahi kukifikiria!! Nacho ni Nyota ya mwanamke!!
Leo nimeambiwa kisa kimoja ambacho kimelipua mawazo yangu yaliyolala kwa kitu ambacho nilikuwa nakiona

STORY
Kuna jamaa yangu anataka kuoa mke wa pili baada ya kuombwa na mke wa kwanza afanye hivo!!Jamaa kamuoa mke wa kwanza miaka michache iliopita na alikua mambo safi kwa sababu bahati ya hela anayo!! Ila baada ya kumuoa bidada mambo mengi yakawa yanadolola na ameshuka kawa kapuku kila analofanya linabuma!!

Sasa Siku chache zlizopta mke wake huyo kamshauri aongeze mke mwingine labda yeye hana nyota ya mafanikio!! Kwani toka waoane mambo ndo yamekua upside down!!"

Hapo ndipo nilpokuja kukubali Yale ambayo nimewashuhudia kuna baadhi ya wanawake ukiwa nao tu mambo yanakuwa yanakunyokea sana hadi unahisi tofauti ( imenitokea)

Pia kuna jamaa mwingine alioa mwanamke mambo yakawa yananyokaa alipomuacha mambo yake yakawa hayaendi walivorudiana nae mambo yakawaka tena!!

Nilishasikia hata mahubiri ya dini nanukuu "kama Kijana unahangaika kufanikiwa hufanikiwi basi subiri ukioa hapo nyota yako yaweza ng'arishwa"

HITIMISHO
Mwanamke utae muoa ndie anadetermine nyota yako ing'ae,au ififie
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU