-->

IFAHAMU NDOA YAKO HATA KABLA YA KUMPATA MWENZA WA MAISHA YAKO πŸ’―


Maisha ya NDOA sio kwa ajili ya kupata FAMILIA πŸ‘ͺ peke yake ⛔️
Bali ni pamoja na KUUJUA UPENDO πŸ’ ULIOPO NDANI YA MWENZA WAKO JUU YAKOπŸ€”
Ulimwengu wa WANA NDOA WA KWELI NI HUU;
• Mwanamke kumpata Mwanaume wa MAJUKUMU πŸ’―
• Mwanaume kumpata Mwanamke mwenye MAONOπŸ’―
Ndoa ya kweli ni ile iliyojengwa kwa msingi wa UPENDO WA NAFSI lakini pia kuta za ndoa hiyo zisimame kwa HURUMA NA UVUMILIVU wala si kwa hizi NDOA za sasa zinazotawaliwa na UGUMU WA MAISHAπŸ˜‚πŸ˜‚
Mwanamke anapokuwa ni mwenye maono, Maono ya Mwanamke huyo yakapokelewa na Mwanaume mwenye MAJUKUMU niamini FAMILIA HIYO HAITAKUWA NA UDUMAVU⛔️
Lakini kwa ndoa zinazotawala sasa kwamba Mwanamke anahitaji Mume ili kupata HARUSI pamoja na kuitwa Mama niamini MWISHO WAO WALA HAUKAWII kwa sababu ataingia kwenye ndoa kwa mahitaji na sio UPENDOπŸ˜‚πŸ˜‚
Ukirudi kwa Wanaume wa sasa nao wanawazia urahisi wa Maisha kuliko kujua JUKUMU WALOPEWA NA MUNGU KWAMBA WAO NI KICHWA CHA NYUMBA hata wakaangukia kwenye udhaifu wa ki fikra hata wakamtafuta Mwanamke kwa malengo yao πŸ˜­πŸ˜­
NINI KIFANYIKE KUNUSURU NDOA ZA VIJANA WETU?
• Kila mzazi analo jukumu kumjenga mtoto wake kwa kumpa misingi imara juu ya maana ya NDOAπŸ’―
Hakutakuwa na Mwalimu yeyote wa kumfundisha MWANA NDOA ila wazazi wake tena kabla ya NDOA yenyewe.
Wazazi badala ya kufurahia HARUSI YA MTOTO WAKO fikiria zaidi ANGUKO LA NDOA YA MWANAO baada ya kukosa ELIMU YA NDOA KUTOKA KWAKO japo kuna wimbi kubwa kuna wazazi nao ni MIIBA KWA NDOA ZAO haitakuwa rahisi kutoa Elimu kwa watoto wao Maana tayari mtoto anajua WAZAZI WAKE WANAISHIJEπŸ˜‚πŸ˜‚
Eeeee MUNGU TUNUSURU NA JANGA LA NDOAπŸ™
#Elista_kasema_ila_sio_sheriaπŸ”¨
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU