-->

SIKU ZOTE ANCHOFIKIRIA MWANAUME NA MWANAMKE SIO SAWA

Anachokifikiria mwanamke sio sawa na mwanaume. Binadamu wote tumeumbwa sawa lakini kuna utofauti kwenye mtazamo na jinsi tunavyoyachukulia mambo.
Kutokana na hilo basi tambua kwamba hakuna mwenye haki ya kumdharau au kumdhalilisha mwenzake. Kila mmoja ni vyema akawa na uhuru na kuamua kile ambacho anaona ni sahihi kwenye maisha yake ilimradi asiwe anakwenda kinyume cha misingi ya mahusiano ya UCHUMBA au NDOA.
Tambua wewe na mwenza wako mnahitajiana kwenye kutimiza maana sahihi ya maisha. Amua kumheshimu mwenzako na jifunze kuuthamini upendo ili basi muwe na malengo sawa na yanayoweza kutimia hatua kwa hatua.
Unaweza! Mnaweza kuwa bora kila siku na mkatengeneza kizazi au familia bora. Hamuwezi fika bila kuanza! Amueni sasa na hakika mtayaona matumda.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU