-->

KHAA! IVI KUMBE WANAWAKE WENGI SIKU HIZI WAKIACHWA WANALIA SI KWASABABU ALIPENDA ILA HUWA NI KWA SABABU HII!

Wanawake wengi miaka ya sasa wanaumia na kulia sana wakiachwa sio sababu ya mapenzi sababu ya matunzo ya huyo mwanaume
😂😂wewe kumpata mwanaume mpya anakupa laki tu ya matumizi aulizi ya nini kama wanaume wasikuizi si mchezo..
Unamkuta mtu analia sio kwa ilo kwa mengi...
Mwalimu Bemasha sauti niongeze
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU