-->

MWAAUME HEBU MTAMBUE MWANAMKE HATAKI KABLA HUJAAMUA UISHI NAYE USIJE UKAJUTA

Nimeikuta sehemu( ikiugusa chukua tahadhari,kama ni mwanamke badilika)
MWANAMKE HATARI KUISHI NAE
( Ambae hujaanza kuishi nae)
1.YUKO SOCIAL ZAIDI YAKO :yaani ni mtu anae penda kuwa karibu na kila mtu,kila sehem awepo. humo huficha makucha yao kwa namna nyingi mno,ataenda kwenye parties,harusi,kitchen party,birthdays etc ukiona yupo very mixed in It bro,huyo ni danger.
2. HANA HISIA ZA KIKE: Wanawake wengi malaya wanakua kama tomboy,wengi hawana zile hisia za kike kabisa, hana machozi ya karibu wala si mtu wa kudeka deka kabisa,ukiona mke yupo hivyo, nenda tu kanisani ukaombe mno.
3. ANA MARAFIKI WENGI WA KIUME: hii inawachanganya wengi ila kiukweli katika marafiki 10 utakuta 4 kesha lala nao kimya kimya na kwa ]sababu unamuelewa kwamba yeye hapendi marafiki wa kike,jiandae kulia kilio cha mbwa mwizi kak.
4. ANA MATATIZO NA BABA YAKE MZAZI: kuna uhusiano mbaya wa wazazi hasa wakiachana,na hapa binti huwa anaharibika sana,na mahusiano yake na baba yake yanavyozidi kuwa mabaya na ukicheche wake unazidi,niamini kaka chunguza mabinti wengi ambao wana mahusiano mabaya na baba zao utanipima kwa mshangao,hili nina ushahidi nalo mno.
5. KUKONYEZWA MBELE YAKO: Hili wanaume wengi huwa hawalielewi ila ukiwa na mke na bado wanaume wengi wanamkonyeza au kumpa signal ukiwa nae usifikiri ni mzuri sana hapana ila ni body language yake anayoidisplay ndio inampa attention anayoitaka, huyo ni hatari ni kicheche qualified, wanaume hatutoti tu signal bila kupewa go ahead, kuanzia macho hadi mavazi ya mtu wako.
6. ANAPENDA POMBE: Hili liko wazi kabisa,ila ni hatari sana kama mke wako anapenda kunywa pombe peke yake maana anajua kabisa madhara ya pombe na hataki akilewa uwe around,huyu jua moyo wake unatanga tanga.
7. WIVU KUPITILIZA: Mwanamke kicheche ana wivu wa kupitiliza,hili naamini ni la kisaikolojia zaidi we unaweza kuwa unamuamini ila yeye hatakuamini kabisa.
8. ALISHAWAHI KUCHEAT: mkiwa mke na mume mara nyingi mke atakupigia story za zamani, akikupigia story kwamba aliwahi kum-cheat boyfriend wake wa zamani fahamu huyo ni kiboko, hawezi kuacha ku-cheat.
9. AMETOA MIMBA NYINGI: Huyu hata sihitaji kukueleza ni kicheche,ila pia anakua na roho ngumu sana.
10. ANA WEHU WAKATI MWINGINE: Ulishaona humu ndani watu wanalalamika wanawake wanavunja vitu, wanawatukana na mengineyo, huo ni wehu, na wakiwa wehu wanawake wengi wanatulizwa na sex, kama haupo around, imekula kwako bro.
11. MTU WA MITANDAO
Unakuta mwanamke yupo na simu yake mpaka saa 5 za usiku ukichat au kusoma mambo yake. Yaan kila mara yupo na simu ,kuna mda anapitiwa na usingiz hata hajazima data. Huko mtandaoni hujui anafanya nn,ana wasiliana na nani
Haya ni maoni, sio lazima mtu akiwa na sababu moja ndio udhani yupo hivyo hapana,ila ni kama angalizo, watu wengi wameingia kwenye matatizo makubwa mno kwa kuingia kwenye mahusiano ambayo yamewatesa au yanaendelea kuwatesa mno na kama mtapata watoto ndio inakua mbaya kabisa.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU