-->

KOSA LA MWANAMKE KWENYE MAISHA YAKE NI KUKOSEA KUCHAGUA MWENZA WA MAISHA YAKE💯


Mwanamke huwi na makosa mengi ila ni kosa moja tu;
• KUTOBAINI NI MWANAUME YUPI ANAFAA KUBAKIA KWENYE IMANI YAKO.
Unapokosea kuchagua unakuwa umeangamiza KIZAZI CHAKO CHOTE maana hata ukiachana na Mwanaume huyo ukiamini utapata mwingine bado tatizo ni huo uzao wako ulozaa na Mwanaume wa kwanza.
Najua shauku yenu akina DADA mnapenda zaidi MWANAUME MWENYE MUONEKANO lakini sio wote wanaopendeza machoni mwenu HAWANA WATU NYUMA YAO maana kwa asilimia kubwa usafi wa MWANAUME unatokana na MWANAMKE😂😂
Na hapo ndipo Wanawake mnajikuta MNAGOMBEA MWANAUME MMOJA na kila mmoja akiamini huyo ndo Mume.
Mwanamke kuolewa na kuachika ukiwa hujapata mtoto inakupa nguvu ya kujisahihisha kwa kosa la kuchagua ila sio kama ukiishakuwa na Mtoto, Maana Mtoto anakufunganisha na KOSA LAKO💯
Maana yake ni kwamba;
• MWANAMKE ANAOLEWA NA MWANAUME MMOJA TU.
Baada ya NDOA iliyobainisha KOSA Mwanamke huyo litamfanya kutanga na njia akitafuta Mkweli wala asimuone kwa sababu tayari MWENYE MTOTO ANABAKIA KUWA KIOO CHAKE kupitia Mtoto ama watoto alowapata kwenye KOSA LAKE😭😭
Hutajisahihisha ukiwa tayari UNA FAMILIA Yaani Mtoto ama watoto 
Njia PEKEE ni KUKUBARI KOSA NA KUCHAGUA UPANDE AMBAO NI KWA MASLAHI YA MTOTO/WATOTO vinginevyo uukatae UKWELI ili ujionee wanaume wasivyokuwa na UPENDO japo wanakuaminisha katika UPENDO😅
Usijidanganye kwa misemo ya wengi;
• KOSA SIO KOSA ILA KURUDIA KOSA
Ipo misemo haiendi kwenye kila tatizo bali unaweza kujikumbusha tu, Unapoongelea KOSA LA MWANAMKE KUCHAGUA MWENZA WA MAISHA YAKE huwezi kulinganisha na msemo huo utakuwa unajidanganya😎
Mwanamke huna nafasi nyingine baada ya KUKOSEA KUCHAGUA MWENZA WA MAISHA YAKO zaidi sana utakuwa MHANGA ukijifariji kwa MAPENZI YA MPITO💯
Jamani CORONA IPO tuwe makini😷
#Elista_kasema_ila_sio_sheria 👆🔨
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU