-->

🔴Fahamu mambo 4 muhimu unayopaswa kuyazingatia uwapo chumbani na mpen-zi wako mnapotaka kufanya ma-penzIi

ZINGATIA HAYA UWAPO NA MPENZI WAKO CHUMBANI 
UNAPOKUWA CHUM-BANI
NA MPE-NZI(MUME/MKE WAKO)
Mambo ya Chu-mbani hayoooo

❤️1. WEKEZA MAWAZO YAKO KWA MPENZI
WAKO
- Pindi uwapo chumbani na Mume/Mke wako
jaribu kuwekeza mawazo yako kwa mpenzi
wako , epuka kufikiria mambo ya nje yaliyotendeka usiyape nafasi mawazo yako kufikiria vitu vingine. Unapokuwa chumbani na Mume/Mke wako wako jitahidi kuacha mawazo tofauti yasiyohusiana na tukio mnalotaka kulitenda wewe na mpenzi Mume/Mke wako hata kama siku hiyo kuna mtu alikuudhi na unahasira au pengine kunajambo lolote limekutokea kwa siku hiyo basi jaribu kuvisahau na mawazo yako yawe katika mazingira mliyopo wewe na mpenzi Mume/Mke wako kwani mapenzi ni hisia , sasa endapo kama kihisia utakuwa upo ndani na mpenzi Mume/Mke wako halafu ukaanza kuwa unafikiria vitu vingine itapelekea kushindwa kulifurahia penzi vizuri , kwani mawazo yako yatakuwa hayako pale. Hivyo nivizuri kuwa makini na kuziwekeza fikra zako zote katika sehemu husika uliyopo.
❤️2. EPUKA KUPIGA STORY ZISIZO HUSIANA
NA MAPE-NZI
- Mpenzi msomaji fahamu kuwa pindi
unapokuwa chumbani na mpen-zi Mum-e/M-ke wako hupaswi kuanzisha mada zilizo nje ya
mazingira husika , elewa kwamba uko
chumbani na mpenzi Mu-me/Mk-e wako kwa lengo la kutaka kufurahia mapenzi , hivyo maongezi yako yanatakiwa yalenge mada husika,usianze kupiga story za ajabu ajabu , jitahidi kuongelea suala zima la mapenzi kwa
kumpa maneno mat-amu mpenzi Mu-me/M-ke wako ya kimahaba unaweza kuanzisha mada ila ihusiane na mapenzi na isiwe ni mada
ndefu mpaka ukamboa mpenzi Mum-e/Mk-e wako. Kuwa makini zungumza nae kwa muda mchache na viwe ni vitu vya msingi na vyenye
maana usianze kuzungumzia habar za watu
au habar za nyumban kwenu zungumzia
vitu vinavyokuhusu wewe na yeye kwa
wakati ule na usiwe muongeaji sana.
Jitahidi kuongelea mape-nzi yenu huku
mkiwa katika mikao ya kimap-enzi kama
kulaliana nakadhalika . Epuka kuonekana dhaifu pindi uwapo chumbani na mpenzi wako.
❤️3. EPUKA KUMWA-MBIA NAOMBA TUFA-NYE
MAP-ENZI
- kitu cha 3 cha kuzingatia unapokuwa
chumbani na mpenzi Mume/Mke wako kwa lengo la kutaka kufanya nae mapenzi ni kuepuka kumwambia "NAOMBA TUFANYE MAPENZI" Tambua kuwa mnapokuwa chumbani na mpenzi Mum-e/Mke wako lengo lenu linakuwa ni kufanya mapenzi kwani kabla ya kukutana katika eneo lile la chumba chenu , au Holidays Resort , au Hotel mnakuwa mmeishap-anga mkutane kwa lengo la kufurahia mapenzi na Mumeo/Mkeo sasa mpenzi Mume/Mke wako atakuona ni mtu wa
ajabu pindi utakapomwambia kuwa unahitaji kufanya nae mapenzi wakati kaja kwa kwako akiwa ana-jua anakuja kufanya ten-do husika la mapenzi hivyo utakapomwambia suala kama hilo kiukweli atashindwa kujua akujibu vipi na mara nyingi suala kama hili ukimwambia Mkeo si rahisi kukubali japo sio wote lazima atakukatilia kwa kukwambia hayuko
tayari kwa siku hiyo kuf-anya Tendo la ND-OA na
wengi wao hutoa sababu mbali mbali.Na unakuta Mume hanashangaa hivi ni kweli Wife kanigomea😁 Hivyo unachotakiwa kukifanya ni kuanza na matendo moja kwa moja anza kumshika shika mv-ue ng-uo zote mchez-ee kisha anzeni tendo ila sio umwambie nataka tufa-nye mape-nzi.
❤️4. USIMUACHE MP-ENZI WAKO AJI-VUE N-GUO
YEYE MWENYEWE
- Jambo lingine kuu na la mwisho
lakuzingatia ni kuepuka kumua-cha mp-enzi Mu-me/M-ke wako av-ue nguo zake yeye mwenyewe, fahamu kuwa pindi uwapo chumbani na mpenzi Mume/Mke wako si vyema kusubiri mpenzi wako ndio avu-e nguo zake yeye mwenyewe unachotakiwa kufanya ni Wewe kuanza kum-vu-a ngu-o moja moja na sio kumvua kwa kukurupuka yani mmeingia tu chumb-ani halafu unaanza kumvu-a hapana Hakikisha unaanza pole pole pengine unamche-zea chezea sehe-mu za kawaida unaanza kumtoa ng-uo ya juu huku na huku mara umefata ng-uo ya chini unaendelea kumche-zea chez-ea huku unamvu-a ng-uo nyingine mpaka unamtoa zote. Usimwambie yeye ndio azivue kwani si rahis kwa walio wengi kukubali tu kuanza kuvua hasa Wake japo sio kila Tend-o la NDOA Mke umejitegesha kama Television wangoja kuwashwa , 👉😄 nawe changamka ila ni wajibu wako wewe Mwan-aume au Mwa-namke
kuanza kumvua mpe-nzi Mume /Mke wako.
🔴NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE 🙏 NA MALAZI YAWE SAFI 🙏 MAANA WAASHERATI NA WAZINZI MUNGU ATAWAHUKUMIA ADHABU (WAEBRANIA 13:4)
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU