-->

WENGI WANATAMANI KUOLEWA Au KUOA NA KUWA WAKE WA NDOA AU WAUME WA NDOA KUMBE HAWAJUI KAMA HIZO SIFA HAWANA BADALA YAKE WANASIFA ZAKUWA WAPENZI TU😂

😂😂🙌🙌.
Sifa za mtu anayetakiwa kuwa Mke au Mume wa Ndoa ni:
1.Hekima
2.Kujiheshimu
3.kuwa na maono kidhungu vision
4.Kujitambua kuwa yeye ni kiongozi wa familia ijayo.
5.Kuwa na nidhamu ya fedha na kutomfanya mwenzake kama chanzo cha pato lake
6.kuwaheshimu watu wengine kama anavyomheshimu mwenzi wake
7.Kupunguza starehe kwa asilimia 90 na kuelekeza akili yake kwenye kujenga misingi ya kazi.
8.Kupunguza marafiki wasio na maisha chanya.
9.Kudumisha mila na taratibu za mahusiano kama jamii inavyofuata.
10. Kutokumuwazia mwenzi wake mawazo hasi, wivu wa hisia hasi na kutokuwaza matengano
11:Kuzuia mdomo kutamka maneno hasi kwa mwenzako.
UKIONA HAUNA SIFA HIZI BASI BADILIKA BADILIKA BASI😂😂.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU