-->

WANAWAKE! HUWEZI KUBADILI TABIA YA MWANAUME ETI KWA SABABU TU UNAMPENDA.


Image result for mapenzi wakubwa
Dear girl huwezi kuibadili tabia ya mwanaume eti kwa sababu unampenda sanaaa/mwanaume anabadili tabia yake yey mwenyewe pale atapoamua kukupenda kiukweli..ukiona mwanaume anapunguza mawasiliano na anaanza kukujibu hovyo hovyo tu tofauti na zamani, muda mwimgine anakufokea bila sababu , na akikukosea anakuwa mgumu kuomba msamaha ujue ndio anarudi kwenye rangi yake halisi/mwanzoni alikuwa anaigiza tu...ukiona mwanaume anaanza kubadilika kitabia kwa speed ya 4G jua tu aliiigiza sana sasa yuko live hewan na huyo ndiyo yeye sasa..na ujue tu hukupendwa..siku zote mwanaume akikupenda kiukweli atakuweka karibu sana kimawasiliano sababu ya hofu ya kukupoteza, na muda wote atataka kujua ratiba yako/ukiona hajari jua kuna sketi nyingine iko kwenye season ya kuigiziwa/ni mara chache sana mwanaume kubadili tabia zake bila kuanzisha mahusiano mengine ukiona hivyo wala huhitaji kumbbeleza sana awe kama zamani maana hawezi/ata akirudi atajiforce siku mbili tatu baadaye atarudi kulekule..tabia ya mwanaume haibadilishwi kwa vikao vya ndugu, wala vya wazazi wala mashekh na wachungaji anaibadili yeye mwenyewe kwa kipimo cha upendo/sasa huyo john wako kukuoa kwenyewe hajakuoa simu zenyewe za misimu, anakujibu anachojisikia, sms akiamua anajibu au hajibu, sms ya akhsabuh inajibiwa jion afu bado tu unambembeleza/unambembeleza nn sasa huyo hawezi kuwa kama zamani hata ungefanyaje move on ndugu yangu...kubali kuongeza list ya watu waliokuumiza kuliko kutumikia utumwa wa mapenzi#
#MadamKasema
Share:

Related Posts:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © 2025 UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU