โ๏ธWanaume hudhoofisha au kubomoa mahusiano na Wake wao kwa sababu zifuatazo:
๐๐พ Kukosa msimamo na kuwa mtu wa kuburuzwa
๐๐พ Kutojiamini/kukosa ujasiri
๐๐พ Kushindwa kujitegemea/kujitosheleza kimahitaji/kuwa omba omba
๐๐พKujisifia kwa mafanikio ya wengne (kaka, dada, mama, baba n.k) kama ndio mafanikio yake
๐๐พ Kukosa ubunifu katika maeneo yote
๐๐พKushindwa kutekeleza wajibu wake
๐๐พ Kuwa mtu mizaha/utani na wanawake wengine na kuwa mkimya kwa mwenzi wake
๐๐พKutenda mambo ya aibu kama ulevi, wizi, matusi n.k
๐๐พ Kushindwa kutimiza mahitaji muhimu kwa familia
๐๐พ Kuchelewa kurudi nyumbani pasipo sababu za msingi
๐๐พ Kushinda vijiweni kama kwenye draft, pool table, bao n.k wkt nyumbani hali ni tete. Haya humfanya mwanaume kuitwa mwanaume suruali. Kama hujaolewa jipime kama unaweza kufurahia maisha na Mume wa mtindo huo.