-->

Wajuwa ni Kwanini wanawake aka watoto wa kike HUPENDA KUDEKEZWA?


Image may contain: 1 person
Mtoto wa kike kwa uhalisia huishi Karibu na baba, Na kwa vyovyote baba ni rafiki wa binti na baba si mkali kwa bintiye... Mtoto wa kike huzoea KUDEKEZWA tangu akiwa mdogo, Kadri siku ziendavyo mtoto wa kike huishi maisha ya kudeka kiasi upendo wa mtoto wa kike huwa kwa baba kuliko kwa mama, Hakuna baba makini asimpende binti yake na kama ukimuona Basi huyo si baba bora ila ni bora baba! Ni funzo kubwa mwanaume kujuwa MWANAMKE hupenda kudekezwa kutokana na makuzi yake, Mwanamke asipodekezwa huhisi hapendwi na hilo humpa upweke... Waswahili walisema USIONE VYAELEA UJUE VIMEUNDWA! Unakutana na Mwanamke ana shape na sura nzuri unafikiri kaibuka tu? Matunzo na malezi ndo yamemfikisha hapo, Mpende MWANAMKE na UMDEKEZE Kwani wewe ni Mwanaume sawa na baba yake, Usimkondeshe mtoto wa Mwanaume mwenzio.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU