-->

Usifanye kosa kudhania kwamba kila mtu ana moyo wa huruma kama wa kwako.

Usifanye kosa kudhania kwamba kila mtu ana moyo wa huruma kama wa kwako. Hata unapokuwa unatamani sana kuolewa, kuoa au kupata kazi, usionyeshe wazi wazi kuwa "uko-desperate" kwamba asipokuoa au kukubali kuolewa na wewe au kukuajiri utakufa au utapata msongo wa mawazo. Ficha hisia zako mfukoni! jikakamue! huyo ni mtu sio Mungu. Kuna watu wakigundua unawahitaji sana katika maisha yako wanatumia hilo kama fursa kukunyenga kama sio kukunyonga. Hata kama una shida ya kufa mtu, dengua kidogo! wakati mwingine kudengua kunakupa "power" ya kujadili mambo kwa "usawa" mwenzako naye anagundua anachakupoteza akifanya mchezo! Akijua huna pa kwenda utakoma! people!!!!!- Mashauri
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU