Mwanamke najua vile shauku yako ni KUWA NA FAMILIAπͺ lakini sio BORA FAMILIAπͺ ila ni FAMILIA BORAπͺ Uwe na MUMEπ« lakini majaaliwa ya MUNGU uzae na watoto, Lakini ninajua kwamba kabla hujafikia japo robo ya safari yako ki maisha UMEJERUHIWA SANAπ na pengine ulikata tamaa, ukakosa tumaini, ila kwa namna ambavyo MUNGU AMEKUJAALIA MOYO WENYE UWEZO WA KUENDELEA wala hukuacha kuchuchumilia ULILOJIAPIZA.
Najua ya kwamba USHINDI WAKO UNATOKANA NA UJASILI WA KUUMIZWA LAKINI UKASEMA YUPO ATAKAYE IJUA THAMANI YANGUπͺ
Na ndo Maana kwa uchungu UTAZAA na hiyo ndo maana halisi ya upana wa MOYO WAKOπ
Ili kujua kwamba MWANAMKE NI JASILI fuatilia MAPITO YAKE halafu ujiulize kwanini BADO ANATUMAINI?
Wajinga pekee ndo humdharau MWANAMKE eti kisa ALIMVULIA NGUO! Laiti kama ungelijua Mwanamke alivyokubeba na madhaifu yako wala hakukutolea japo moja la kukufedhehesha wala usingetembea kifua mbele ukijinadi kuwa KIDUME wakati ajuaye siri yako yupo kimya anakutazama tu, Wanaume wengi TUNAAMINI KWAMBA MWANAMKE NI KWA MAHITAJI YETU kwamba atakupikia, atakufulia, atakuzalia, atakupa penzi na Mengine ambayo tunaamini MWANAMKE NDIYE MTIMIZAJIπππ
Mungu alipomwambia ADAM nimekupa msaidizi hakumaanisha EVA kazi yake kumpikia Mumewe tu au Kumfulia nguo bali Kuna siri kubwa katika hilo ila nikukumbushe kwamba;
"Kwa sasa hiyo tabia ya kumfanya mke kama kijakazi IMEFYEKELEWA MBALIII Kwani wanawake wanatubeba tu ila 65% ya Wanawake wa sasa WANAMUDU MAISHA YAO BILA KUWA NA MWANAUME ila kinachoendelea kuwaponza ni ile IMANI YA UDHAIFU WAO KWAMBA HAWEZI LOLOTE BILA KUWA NA MWANAUME.
Lakini ikitokea Wanawake wakapata ujasiliπͺ katika hilo wallah wanaume wa sasa mnavyopenda vya bure MWAFAAA"
Mpende MKEO kama unavyojipenda mwenyewe, Hiyo ndiyo maana halisi ya UPENDO.
#Elista_Kasema_ila_Sio_She