-->

KAMA UNAMPENDA KWELI BASI UTAMTUMIA SMS HIZI TAMU ZA MAPENZI


Wanafiki tusiwaombee kifo daima na milele washuhudie penzi letu linavyozidi kukua, na tunavyopambana na mapito.

*******

Nakupenda kwa kuwa umegundua thamani ya penzi langu nakuahidi utafaidi utamu wa mapenzi yangu.

*******

Mwanzo tumeuanza na mwisho hautofika na kama ukifika wewe ukifa na mimi nikizikwa.

******

Ni bora mnara ukitikisika kuliko kupata pengo lisilozibika moyoni umeniachia jeraha lisilotibika na ufa usiozibika. Rudi mpenzi wangu.





Uko kama ugonjwa wa pumu, umechukua pumzi yangu na kuepeleka mbali.

Umekuwa kama mba siwezi kukutoa  kichwani mwangu, kama gari langu unaniendesha na kunifanya nichanganyikiwe. Umekuwa kama meno siwezi kucheka bila ya kuwa na wewe.Nakupenda sana mpenzi.

*******

Watu 10 wanaokujali mmoja ni mimi, mtu mmoja anayekujali anaweza kuwa mimi tena, kama hakuna hata mmoja anayekujali, basi inamaana mimi sipo duniani. Ongeza mapenzi ili tusipate vishawishi...

*********

Sweet, natamani tutengenezewe nchini yetu na tuishi wawili, wenye wivu wasipate nafasi ya kuharibu penzi letu, huku tupeane mapenzi pasipo kubaniana, tulishane vizuri vilivyo ndani ya miili yetu, tushikamane usiku kucha tukisifiana ndani ya mahaba. Sweet ni wachache wanaovutiwa na penzi letu na ni wengi wanaochukizwa naomba tuwe macho

*********

Pale mvua inaponyesha huwezi kuona jua, lakini liko pale. Naimani tunaweza kuwa kama mvua na jua.

Siku zote hatuwezi kuonana, lakini tutakuwa pamoja kwa ajili ya penzi letu.



********

Ndani ya moyo wangu kumegawanyika mara 3, moja kwa ajili ya Mungu wangu, 2 kwa ajili ya familia yangu na tatu kwa ajili ya rafiki zangu. Hakuna upande wako katika moyo wangu kwasababu wewe ndio moyo wenyewe.

********

Mimi naishi kwa ajili yako,  kuna mwezi ninaojifunza kutoka kwako, kuna jua ambalo linakuheshimu wewe,

kuna nyota ambazo zinawaka kwa ajili yako, na hapa ni mimi ambaye ninaishi kwa ajili yako.

***********

Kama ningekuwa na uwezo sweet wangu, ningependa kulala kila siku na wewe, ningependa kutembea na wewe, ningependa kula sahani moja na wewe, ningependa kutumia kijiko kimoja na wewe, glasi ya maji unayoitumia ningependa iwe yetu sote, chakula unachokula nikile. Ningetamani pumzi yako iwe ndani ya moyo wangu.Nikiamini kuwa wote karibu hakuna wa kuniibia mali zangu...mwaaa!



*******

Unaponishika ngozi yangu nasisimka, unaponinong’oneza naishiwa nguvu, pumzi zako zinanipandisha midadi ya mahaba. Naomba leo hata kesho uongeze utundu na ubunifu niweze kukolea zaidi kwenye mahaba yako. Ni vigumu kuona mwisho wa penzi letu kwani nitakuwa nimeshakufa....

********

Kama bahari inakauka naamini penzi letu litaisha, kama anayezaliwa hafi penzi letu litakufa, anayekupenda anasamehe basi wewe umeshasamehewa, sitakuacha hata ukifunga ndoa na mwingine..
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU