-->

JE UMEUMIZWA NA ULIYEMPENDA SOMA HII

Related imageMSEMA KWELI
Wakati mwingine ni vyema kumuonyesha vile alivyopoteza kwa ujinga wake.Akikuacha usijione kama ndo mwisho wa maisha bali jiamini, simama kwa upya na jiandae kumpokea mwingine atakayekuwa anajua thamani yako.

Kwa kulia na kujizeesha unamfanya ajione mshindi yaani amekukomoa dawa ni kuanza kwa upya.
Usione kama umepoteza thamani na uzuri wako.Usione kama amekuchezea na kukuzalisha kisha kukuacha bali mshukuru kwa kukupa zawadi ya mtoto(watoto) kisha tambua ng'ombe hazeeki maini bali ndiyo yanazidi kuwa matamu na wenye nia ya kuyapata wanaongezeka.
Jambo la msingi ni kupendeza na kujishughulisha ili uyamudu maisha.
Atatokea mwingine kama yeye akichelewa kujirekebisha.
@maisha_halisitz
Kama unahitaji ushauri na kua kwenye group langu vyote kwa pamoja kwa unalipia tu elfu 10 kwenye voda no 0756802580 na then ukishalipa nichek whatsAAp no 0656832100
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU