-->

UPANDE WA MAHUSIANO/NDOA MWANAMKE NI KAMA BETRI ISIYOTUNZA MOTO HIVYO KILA KUKICHA MWANAUME WAKE ANATAKIWA KU-BOOST (UNAJUA NAMAANISHA HIVI)


Image may contain: 1 person, sitting
Kwanza kabisa niwaombe radhi wanawake wote kwa neno hili πŸ™"UPANDE WA MAHUSIANO/NDOA MWANAMKE NI KAMA BETRI ISIYOTUNZA MOTO HIVYO KILA KUKICHA MWANAUME WAKE ANATAKIWA KU-BOOST UJUMBE WA MAHABA" Kwanini nimesema hivyo? Naomba nimnukuu Baba yangu "Elista kaa ukijua Mwanamke anatongozwa kila siku hata kama umemuoa, Unapokuwa na mkeo hakikisha kila siku unapenyeza maneno mazuri masikioni mwake, usiishi nae kwa mazoea ni hatari kwako" nirudi kwenye mada yangu sasa;πŸ˜‡
Mwanamke ni mtu mwenye KUPUMBAZIKA KWA KUSIKIA hivyo wale wanaume wanaoishi na wake zao kwa mazoea niwaambie kweli HATA MUUZA GENGE AKIMPA MANENO MATAMU MKEO UTAONEKANA WEWE BOYA TU haijarishi anaishi maisha ya fahari🏘🚘, Unajua wanaume wengi hawajui kuvuna NEEMA AMBAZO MWANAMKE AMEBARIKIWA NAZO! Mwanaume anaeweza kuhakikisha walau kila siku amechomeka neno jipya la MATUMAINI KWA MKEWE HUYO HAWEZI KUINGIZWA REHANI MOYO WAKE😜... Mungu amemuumba Mwanamke kuwa BARAKA KWA MUMEWE na ndo maana ukiona ndoa fulani imebarikiwa ujue MKE ANAJISHUGHURISHA NA MAOMBI YA MAFANIKIO KWENYE NDOA YAO ila ukiona hufanikiwi na una miaka 3 na mkeo ujue MOYO wa mkeo haujatulia, Yaani muda mwingi mnautumia kwenye kusuruhisha kelele zenu kuliko kupambana kuijenga familia yenu πŸ‘ͺ Utulize MOYO wa Mwanamke ujionee MABARAKA KEDE WA KEDEEE yakiiandama familia yako, Ukiona nakusakama sana chukuwa glasi ya maji meza funda moja tu🀣
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU