-->

Ukijuwa kujipandisha kwa mkeo UKUMBUKE NA KUJISHUSHA ili mambo yaende sawa!

Image may contain: 1 person, close-up
Wanaume wengi wamepote dira ya MAHUSIANO/NDOA zao kwa sababu ya kuishi na wenza wao kibabe, Pengine ni mtazamo wako kuishi na Mwanamke kibabe yaani kila saaa unataka mwenzio awe mwoga ama mwenye hofu kwako, Lakini Man naomba nikwambie jambo moja MAISHA YA MWANAMKE YANALINDWA NA UTULIVU WA AKILI YAKE... Muda ambao mwanamke anakuwa kwenye sintofahamu juu yako ujue jambo moja tu IKO SIKU ATAJUA KWAMBA WEWE SIO WA MAISHA YAKE! Dhamana kubwa kwenye MOYO wa Mwanamke hujengwa kwa MATENDO MEMA ya Mwanaume wake, Usijidanganye kwamba Mke anaongozwa kwa sheria bali Mke huongozwa kwa UPOLE pamoja na Kumjenga kisaikolojia kwamba YEYE NI MAMA... Kila Mwanamke anapokuwa amepewa heshima yake na Mumewe huhisi jambo moja tu NISIMKOSEE ADABU MUME WANGU! Lakini mara nyingi Mwanamke hukengeuka kufuatia Vile ambavyo MUME ANAM-TREAT.
Jitenge na kudharaulika na Mkeo kwa kusimamia haki na heshima katika ndoa yako, Kwenye makosa MSAHIHISHE mwenzi wako, Ulipokea wewe kubali kuambiwa na ujirekebishe, Ubabe peleka kwenye MIELEKA "WWE"
Mtoto wakike anadumu kwenye MAHUSIANO/NDOA kwa kufuata UBORA WA PENZI ALILOPO
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU