-->

UKIONA UNASALITIWA NA MWANAMKE BASI UJUE ANAKUPENDA! NGOJA NIKWAMBIA SABABU..!

Image may contain: 2 people, people standing and indoor

Kwanza kabisa nikiri UKIONA UNASALITIWA NA MWANAMKE BASI UJUE ANAKUPENDA! Kwanini nasema ANAKUPENDA? Kwa namna yoyote ile Mwanamke huwa hapendi wanaume wawili ila Mmoja, Mambo ya mgawanyo wa MAPENZI ni jadi ya wanaume, Kila Mwanamke anahitaji awe na mmoja ambaye ameshikilia hisia zake, Hizi tabia zingine watu hawazaliwi nazo ila wanajifunza kutokana na mazingira, moyo ukipenda unapenda kweli na huko ndiko neno DHATI linapatikana, Lakini naomba ujue jambo moja MOYO UNA TABIA YA WOGA na kila moyo unaposikia woga unajitetea, Unadhani ni kwanini umejua mwenza wako anakusaliti na bado anasema anakupenda? Kwa sababu moja tu MOYO WAKE UMEUJERUHI ndo maana unajaribu kutafuta mahala ambapo utapata RELIEF lakini kama umebaini kwamba mwenza wako amekusaliti basi kaa chini tafakari ulipojikwaa hata ukamsababishia mwenzio akakusaliti na ukiishabaini kosa lako lifanyie kazi lifutike kwenye taswira yake pamoja na kujitenga na maudhi kwake, Ukibadilika anaweza kuwa MPYA kuliko hata mwanzo, Kwani tayari aliishaiona tofauti kati ya HAMU NA UPENDO... Mara nyingi hamu nazo zinatusababishaga kuangukia mahala ambako tunaweza kujutia siku zote, Usimuache Mwanamke akaningia ushawishi kwa mwanaume mwingine ni hatari kwako, Mwanamke ili awe kwenye msitari wa UPENDO unawajibika kumpenda bila kupunguza maana mwanamke mmoja anaweza kuwindwa na wanaume mia moja kwa wakati mmoja JIULIZE WEWE UNA KIPI CHA ZIADA KUWASHINDA HAO? Muda mwingine simama kwenye kioo jitazame ulivyo na utofautishe kati ya yule ANAE MSUMBUWA MKEO NA WEWE MPOJE na hapo ndipo utatakiwa kutengeneza uwiano akilini mwako, Kila Mwanamke ili afurahie MAHUSIANO AMA NDOA aliyopo ni jukumu la Mwanaume wake, Sasa wewe endelea KUJI-BOSS kisa ushamuoa iko
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU