
kama ni UPENDO kwanini unambeba mtu ambaye hajui thamani ya upendo wako kwake?π³ Kama unahitaji MAPUMZIKO YA MAPENZI kwanini unajitaabisha kumuweka mtu moyoni mwako? Wacha nikwambie jambo moja gumu na baya kwenye MAPENZI;
Ukitaka kuteseka kwenye maisha yoyote yale MBEBE MTU MOYONI MWAKO wallah hutasalimikaπ€Έββ Maishani mwako jifunze kumpuuza kila mtu ambaye anapambana kukudhoofisha, Muangalie zaidi mtu mmoja tu MTU AJUAYE WEWE NI WA THAMANI KWAKE huyo ndo ishi nae moyoni mwakoπ Naomba ujue kwamba KILA MWANAUME ANAWEZA KUJA KWAKO NA KUTIMIZA HAJA ZAKE lakini nakuapia wewe huwezi kwenda kwa kila mwanaume ukatimiza haja zakoπ kuna mahala utaingia utachafuliwa na kuondoka na UTI tuπ Kuna mahala utaingia utaambulia maumivu kwani huna hisia nae, na mengine yatakayo kuvunja moyo kwa namna ya uhalisia wa ulipoingia, Wako wanaume hawawezi kukupa FURAHA lakini wanaweza kukupa KARAHA hapo ndipo utabaini Mwanaume anahitaji kusomwa kama kitabu ili uweze kumjua maana ya yeye kuwa Mwanaumeπ Ukiingia kichwa kichwa kwa Mwanaume bila kumsoma niamini HUWEZI KUMPENDA maana mwenzio ni kama simba muda wote ulimi unamtoka akitafuta mlo, Lakini nakusihi nawe uache tabia ya kujaribisha Mapenzi watoto wakiume ni wepesi kuchoka na wakati huo amechoka wewe ndo unajiachia mzima mzima weeee ATAKUZAMISHA KWENYE KINA KIREFU CHA MATESO wala usiibuke ukiwa mzima, Ukiweza nielewe ila kama kichwa chako ni kigumu basi nikwambie hivi UTAISHIA KUONJWA TU wala usimuone mlajiπ SAMAHANIππ»ββ
#Elista_kasema_ila_Sio_she